Ole wake MO ajiuzulu,maana hapendi kuhoji 2oB.

Unaingiaje ubia na watu usio waamini? Halafu pia hizo pesa hajaweka kwenye akaunti ya simba iweje a excute maamzi ya ajira wakati hata haja halalisha uwekezaji wake.?
Umeambiwa mchakato wa mabadiliko simba usha kamilika??

Penye chakula hapakosi maneno
 
Mkuu, mbona kwa mwaka huwa anaweka zaidi ya 3B, sasa hizo 2oB unamaanisha 2B and "Other Business"?

Nadhani OB ni kama
1. Kubeba Mataji
2. Kufika hatua ya makundi Michuano ya Kimataifa CAf
3. Kuongeza mapato ndani ya Club
4. Kuifanya timu kujiendesha bila hasara
5. Kuongeza vyanzo vya mapato ya Club

Na mengine meengi.
Hayo matatu ya mwisho ndo yapi sasa?
 
Mikia mna jazba ila Kigwa ana mantiki..kulikuwa na watu watatu walishindania kuwekeza Mikiani..kishikaji Mo akashinda..ndani ya mwezi alitakiwa kudeposit 20b...kafunga milango kwa matajiri wengine kuwekeza ndani ya Mikia alafu anajinasibu anatoa 3b kwa mwaka..basi mngebaki na mfumo wa zamani yeye awe mfadhili tu..ila hamkjifunza law Yanga na Manji..tafuteni tajiri mwingine aweke mzigo
 
Sisi hii tabia ya kutishia kujiuzulu imetuchosha, yeye ajibu hoja kitajiri. Aweke hizo 20 billions maswali ya yaishe. Halafu pamoja na hilo asisahau simba sio Mali yake na hesabu za fedha kila mwaka ziwe zinakaguliwa na kusomwa mkutano mkuu.
Ajira ziwe zinatangazwa wanasimba waziombe.
Mikataba ya Mo extra na Mo halisi iwekwe wazi.
Mchakato wa logo nao aseme nani alimpa ridhaa ya kuibadili.
Pia uwanja wa bunju ulionunuliwa n.a. Rais kikwete iweje uitwe MO arena ni kwa hadidu zipi za vikao vya wanasimba?
N.a. iwapo atajiuzulu nashauri ashtakiwe kwa utapeli huwezi kuua nia ya watu wengine kuwekeza kwenye mpira wa tanzania na mambo kama haya ndo yaliyowakuta Yanga baada ya Manji kuondoka.
Tumechoka kuchezewa!
Bahati nzuri Mungu hakukupa hizo Bil.20 hivi angekupa Ungeziweka bila Mchakato Mzima kukamilika Acheni Hoja za kihuni Huyo Kigwangala kama Anazo Azitoe Mo ajiondekee
 
Kahoji kwanza team yako ya utopolo kwa nin msim unaanza bila uzi mpya!! kelele za ki ngedele ngedele peleka kwa chura wenzako
Weweee tulia hivyohivyo sindano ikuingie barabara
 
Nguvu anayotunia Kigwangala kuhoji 20B za Mo na kudhurumiwa kwa Simba angeitumia kumuhoji Boss wake zile Trillions of Shs. Basi leo hii Tanzania ingemuona wa maana Sana
Yaani yeye Simba inamuuma kuliko Nchi yake , huu nao ni unafiki
 
Sisi hii tabia ya kutishia kujiuzulu imetuchosha, yeye ajibu hoja kitajiri. Aweke hizo 20 billions maswali ya yaishe. Halafu pamoja na hilo asisahau simba sio Mali yake na hesabu za fedha kila mwaka ziwe zinakaguliwa na kusomwa mkutano mkuu.
Ajira ziwe zinatangazwa wanasimba waziombe.
Mikataba ya Mo extra na Mo halisi iwekwe wazi.
Mchakato wa logo nao aseme nani alimpa ridhaa ya kuibadili.
Pia uwanja wa bunju ulionunuliwa n.a. Rais kikwete iweje uitwe MO arena ni kwa hadidu zipi za vikao vya wanasimba?
N.a. iwapo atajiuzulu nashauri ashtakiwe kwa utapeli huwezi kuua nia ya watu wengine kuwekeza kwenye mpira wa tanzania na mambo kama haya ndo yaliyowakuta Yanga baada ya Manji kuondoka.
Tumechoka kuchezewa!
Kiukweli kuhoji sana hii ishu sipendi... ila sipendi zaidi anapokuja na utetezi wa kujitoa... huo ni upumbavu.
 
Kigwangala naona baada ya kupigwa mkwara na viongozi wako wa chama na serikali sasa naona umeamua kuhamishia mashambulizi hapa jf!
 
Unaingiaje ubia na watu usio waamini? Halafu pia hizo pesa hajaweka kwenye akaunti ya simba iweje a excute maamzi ya ajira wakati hata haja halalisha uwekezaji wake.?
Naona kila siku unakomalia 20B kama yako. Wenye Simba yao wametulia, wewe kazi pekeche pekeche! Umbea kama dada aliyepewa talaka ya ghafla.
Kahoji yanayokuhusu. [emoji196] [emoji196] [emoji196] FC.
 
Sisi hii tabia ya kutishia kujiuzulu imetuchosha, yeye ajibu hoja kitajiri. Aweke hizo 20 billions maswali ya yaishe. Halafu pamoja na hilo asisahau simba sio Mali yake na hesabu za fedha kila mwaka ziwe zinakaguliwa na kusomwa mkutano mkuu.
Ajira ziwe zinatangazwa wanasimba waziombe.
Mikataba ya Mo extra na Mo halisi iwekwe wazi.
Mchakato wa logo nao aseme nani alimpa ridhaa ya kuibadili.
Pia uwanja wa bunju ulionunuliwa n.a. Rais kikwete iweje uitwe MO arena ni kwa hadidu zipi za vikao vya wanasimba?
N.a. iwapo atajiuzulu nashauri ashtakiwe kwa utapeli huwezi kuua nia ya watu wengine kuwekeza kwenye mpira wa tanzania na mambo kama haya ndo yaliyowakuta Yanga baada ya Manji kuondoka.
Tumechoka kuchezewa!
We kama nani
 
Tukana uwezavyo mmeshikwa pabaya. Unanichekesha sana
We zuzu nini ,,kila mtu atavuna alicho panda nazan umeanza kuona matunda baada ya game za Leo ,,piga kelele za kingedele huku mnyama akiendelea kuchanja mbuga
 
Back
Top Bottom