Ole Wao Waliohusika kuwakata Mikia Ndugu Bernard Kamilus Membe na Abdahaman Kinana

Ole Wao Waliohusika kuwakata Mikia Ndugu Bernard Kamilus Membe na Abdahaman Kinana

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,545
Reaction score
6,512
Niwakumbushe wale wote waliohusika kukata mkia wa Bernad Membe na Abdalahmani Kinana.Inaoneka mikia imeshaanaza kuota upya.Itakumbukwa kwamba Ndugu Membe aliwahi kukili kuwa AMEKATWA MKIA

Sasa wajiandae wao.labda zamu yao itakuwa kukatwa vichwa kabisa.Ila Mungu atwaepusha visasi.

"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.Yeremia 17:5"
 
Up and downs za siasa ni kiboko sio mchezo

Sasa hapo unaweza kuondoka chamani bila kufukuzwa

Chama kinarejuvinate

Jamaa wana wakati mgumu usipime!!!
 
Niwakumbushe wale wote waliohusika kukata mkia wa Bernad Membe na Abdalahmani Kinana.Inaoneka mikia imeshaanaza kuota upya.Itakumbukwa kwamba Ndugu Membe aliwahi kukili kuwa AMEKATWA MKIA

Sasa wajiandae wao.labda zamu yao itakuwa kukatwa vichwa kabisa.Ila Mungu atwaepusha visasi.

"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.Yeremia 17:5"
Mmoja yuko shule anajiandaa kwenda malawi na mwingine namwonaga maenea ya ubungo msewe na vits yake mbovu mbovu kila siku kutuazima wire wa kubustia betri
 
you can't be more Christian than the Roman's
Kwa ki-inglish sahihi ni 'you can't be more Christian than the Romans', siyo hiyo uliyoandika wewe.
Btw, hiyo ni dhana tu ambayo pia inapotosha ukweli. Roman christianity (ukristo wa kimagharibi) uliasisiwa na kuwa polished Africa, kanisa la Egypt (early African theologians) ndilo lilifanya kazi ya kujenga na kutengeneza doctrine za kanisa la kimagharibi tunazozisoma leo!
 
Kuna watu watacharazwa viboko makao makuu ccm

Kuna yule anaitwa Livingston lusinde mbuge wa mtera ase yule Hali yake siyo nzuri kbsa aliwatukana kina kinana na kuwadhalilisha Sana cjui leo hi Hali yake iko vip

Mm nasema wacharazwe viboko na waulizwe aliyewatuma kuwatukana wazee n Nani na je Yuko wapi wacharazwe viboko kina lusinde had akili ziwarejee
 
Back
Top Bottom