Ole wenu CHADEMA!

Kuna kubwa kuliko hili?
Habari zinasema kwamba huko nyuma, mbinu zilizotumika kuwamaliza wapinzani ni pamoja na kupenyeza watu wao ndani ya vyama vyao ili walete vurugu, jambo wanaloweza kulifanya kwa CHADEMA pia, ili viongozi na wanachama wagombane, wafukuzane.
 
This is 2015 na Mbowe bado yuko strong. Watu waliopenyezwa na CCM kuivuruga Chadema wamejulikana na kutimuliwa.
Tunangoja plan B ya CCM ama itakula kwao.
 
This is 2015 na Mbowe bado yuko strong. Watu waliopenyezwa na CCM kuivuruga Chadema wamejulikana na kutimuliwa.
Tunangoja plan B ya CCM ama itakula kwao.

Za mwaka mpya Jasusi.
 
Kumbe ndo maana walipoteana 2010, nguvu zote walizielekeza kwa Mbowe, wakasahu kuwa CHADEMA ni taasisi.
 
This is 2015 na Mbowe bado yuko strong. Watu waliopenyezwa na CCM kuivuruga Chadema wamejulikana na kutimuliwa.
Tunangoja plan B ya CCM ama itakula kwao.
Ajabu ni kwamba baada ya wavurugaji kujulikana na kutimuliwa kikosi kilichobaki kimezidi kuimarika kwa kupata wachezaji wapya na kuwaacha waandaaji wakivurugana wenyewe kwa wenyewe! Mbinu za kumdhoofisha Mbowe yaonekana zimegonga mwamba na badala yake kwa sasa ndiye Kiongozi wa Upinzani bungeni.
 
Mkuu JJ,@John Mnyika
asante kuliweka hili vizuri。
P
 
Mkuu Mkandara upo?。That then,sasa ni inamlinda,
P
Sidhani kama dr. Slaa alopewa Ubalozi naye anamuunga mkono Lissu. Kuna watu wanafadhiliwa na Ford Foundation nao upande wa Lissu. Ingekuwa tofauti ningesema kweli CCM inamlinda Mbowe lakini MUDA HUU kutokea haya najua kabisa dhamira ni kuibomoa Chadema na hakuanzisha Mbowe.
 
Alianzisha nani?. Aliemtuma Wenje agombee Umakamu ni nani?. Na Je aliemtuma Lissu agombee uwenyekiti ni nani?. Mbowe kwa nini hakuwa muwazi kama atagombea au laa mpaka atengeneze sinema?.

Wakuikwamua CDM ni Lissu na Heche.
 
Thanks kujua upo!.
P
 
Nimepita tu mtaani hapa kwa sababu ndio mahala pekee naweza pata muda kama huu. Pia naelewa watu wanachanganya nafasi hizi mbili kwa sababu wamezoea kuona mfumo mmoja sio huu wa Chadema ambao
1. Mwenyekiti wa Chama - Ni Mjenzi wa Chama kusimamia Itikadi, sera, mipango na mifumo ndani ya Chama sio kupambana na Chama tawala.
2. Mgombea Urais - Huyu ndiye jicho la Wanachama kupambana na Chama Tawala katika.nafsi ya Urais ili Chama kipate ridhaa ya Wananchi kuongoza nchi.

Ndio maana wakati Mbowe akiwa Mwenyekiti aligombea Dr. Slaa, Lowassa na kisha Tundu Lissu. Huo ndio utatatibu walojiwekea Chadema, hivyo sioni Tundu Lissu kuwa na uwezo na sifa ya Kuongoza Chama labda kwenye kugombea Ufais maana ni mropokaji haachi kitu kama Trump. Na sioni kabisa kama Trump ana uwezo na sifa ya kuwa Mwenyekiti wa Conservatives.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…