Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is 2015 na Mbowe bado yuko strong. Watu waliopenyezwa na CCM kuivuruga Chadema wamejulikana na kutimuliwa.
Tunangoja plan B ya CCM ama itakula kwao.
Safi, Zakumi. Umepotelea wapi?Za mwaka mpya Jasusi.
Kumbe ndo maana walipoteana 2010, nguvu zote walizielekeza kwa Mbowe, wakasahu kuwa CHADEMA ni taasisi........
Mitaani, mwanasiasa anayezungumzwa sana kwa upande wa upinzani, huku akipewa nafasi ya kukua zaidi ni Mbowe.
Vyanzo vya habari vinasema CCM wamefanya utafiti, wamelijua hilo , na hawawezi kumwachia akashamiri, kwa sababu hawataki kusumbuliwa katika uchaguzi wa mwaka 2010.
Chanzo: Tanzania Daima » Account Suspended
Safi, Zakumi. Umepotelea wapi?
Huku kwetu imepapasa tu ingawa shule zimefungwa.Nadunda tu. Naomba snow idondoke kwa wingi nisiende mzigo
Ajabu ni kwamba baada ya wavurugaji kujulikana na kutimuliwa kikosi kilichobaki kimezidi kuimarika kwa kupata wachezaji wapya na kuwaacha waandaaji wakivurugana wenyewe kwa wenyewe! Mbinu za kumdhoofisha Mbowe yaonekana zimegonga mwamba na badala yake kwa sasa ndiye Kiongozi wa Upinzani bungeni.This is 2015 na Mbowe bado yuko strong. Watu waliopenyezwa na CCM kuivuruga Chadema wamejulikana na kutimuliwa.
Tunangoja plan B ya CCM ama itakula kwao.
Mkuu Mzee Mwanakijiji ,naunga mkono hoja。kama kuna mtu anastahili kulaumiwa sana kwa kuvurunda upinzani ni Mbowe.
Rip FMeS!。Freeman ni CCM anyway,
Mkuu JJ,@John MnyikaMwanakijiji, Mkandara na Mzee Es,
10. Mzee Es umesema Freeman ni CCM. Kama alivyosema Mwanasiasa-Tupe ushahidi. Kwa maoni yangu mimi siyo. Ilinichukua muda sana kuamua kuingia CHADEMA. Mimi napenda Utomaso!. Niliwachunguza sana viongozi wa CHADEMA kabla sijajiunga. Wengi nawaamini. Kama watabadilika huko mbele hiyo ni silika nyingine tofauti ya binadamu. Nimekaa karibu sana na Freeman, msimamo wake kuhusu masuala mbalimbali ya maisha naufahamu. Kama watu wa jamii hiyo ni wanaendana na yanayofanyika CCM basi watanzania wengi ni CCM. Lakini siamini hivyo. Kumbuka Freeman ana mizizi katika CHADEMA kama mmoja wa waasisi miaka kumi na ushee nyuma. Unataka kusema toka wakati huo alikuwa CCM?
Sidhani kama dr. Slaa alopewa Ubalozi naye anamuunga mkono Lissu. Kuna watu wanafadhiliwa na Ford Foundation nao upande wa Lissu. Ingekuwa tofauti ningesema kweli CCM inamlinda Mbowe lakini MUDA HUU kutokea haya najua kabisa dhamira ni kuibomoa Chadema na hakuanzisha Mbowe.Mkuu Mkandara upo?。That then,sasa ni inamlinda,
P
Alianzisha nani?. Aliemtuma Wenje agombee Umakamu ni nani?. Na Je aliemtuma Lissu agombee uwenyekiti ni nani?. Mbowe kwa nini hakuwa muwazi kama atagombea au laa mpaka atengeneze sinema?.Sidhani kama dr. Slaa alopewa Ubalozi naye anamuunga mkono Lissu. Kuna watu wanafadhiliwa na Ford Foundation nao upande wa Lissu. Ingekuwa tofauti ningesema kweli CCM inamlinda Mbowe lakini MUDA HUU kutokea haya najua kabisa dhamira ni kuibomoa Chadema na hakuanzisha Mbowe.
Thanks kujua upo!.Sidhani kama dr. Slaa alopewa Ubalozi naye anamuunga mkono Lissu. Kuna watu wanafadhiliwa na Ford Foundation nao upande wa Lissu. Ingekuwa tofauti ningesema kweli CCM inamlinda Mbowe lakini MUDA HUU kutokea haya najua kabisa dhamira ni kuibomoa Chadema na hakuanzisha Mbowe.