Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

ICC chini ya uongozi wa bi Fatou Bensouda, mama yule ni mkatili sana kwa wanao fanya ukatili
 
Wacha kutisha watu na hata sisi hatuna haja ya kujitambulisha kwako ni kina nani
Wewe endelea kuota,undhani wote waliomo humu ni wakulima wa simiyu? ,sina muda wa kukuaminisha Mimi ni nani na sihitaji unijue,ila jichanganyeni kesho ndo mtakijua kilichomzui kuku kukojoa
 
Cyprian Musiba na Le mutuz wamelipwa Advance kwa ajili ya kumfanyia fujo Tundu Lisu wananchi kuweni nao macho
 
wewe ulisomaga wapi? ukaishia darasa la ngapi? unaweza kutofautisha kati ya akili yako na matope? kwanini huwa mnadhani kuna first na second citizen hapa nchini? mlisema vyama vimekufa kwa hapa kazi tuuuu. mnawewewseka nn sasa
 
Wakati nyie mko bize na mzoga wenu, sisi tuko hapa jknia tunampokea raisi mtarajiwa,
 
Kama hukuwa umemalizia risasi kwenye lile shambulio la mwanzo, uje umalizie zilizobaki. Zikiisha utapewa kituo chochote cha polisi kilicho karibu.
Kwa taarifa yako Kuna umati wa zaidi ya watu 10,000 hapa airport
 
Ww nguchiro mbna una Id feki?
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
 
Tangu lini kumpokea ndugu au kiongozi wako ni kosa au ni fujo?????? Magufuli na serikali mbona inahaha hivyo na huyo mwananchi...INAOGOPA NINI??? Huyu aliyepigwa risasi 17 kati ya 38, uchunguzi polisi wamekataa kuufanya, mmekataa kumlipia matibabu mkitegemea atakufa, mmepiga marufuku asiombewe, mmepiga marufuku masheikh wasisome ALBADIRI, mkamvua ubunge mkitegemea mmemkomoa lakini MUNGU ni mwema, sasa karudi mzima wa afya mnazuia watu wasiende kumpokea......Hivi mna akili timamu kweli? mtaaibika wote ninyi na huyo jiwe wenu.
 
Nyoko nyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…