Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

Nafsi zinawasuteni kwa mliyo mfanyia mh Lissu
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
 
Wana weweseka tu huku wameficha nyuso zao kwa aibu
Huo msiba ni wa kada wa ccm ambaye wakati fulani aliwahi kuwa rais wa Tanzania. Mapokezi ya Lisu ni ya mwanacdm aliyenusurika kufa kwa shambulio la kinyama la kina bashite. Tena mapokezi yenyewe yatakuwa ya amani kabisa. Wivu wa kisiasa hautawabeba kwenye hili.
 
Utavunjwa wewe kiuno ili ubakie ombaomba kama matonya maana ndiyo adhabu pekee unayo stahili
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
 
Inasikitisha Sana watu wanasua Sua kwenda kuaga ..:. Sijui upendo na Umoja wetu Uko wapi ..:.
Siku za karibuni hatufanyi mambo kitaifa iwe sherehe au misiba

We need National Ünity .... mambo ya kuanzia kupazimisha watu kuaga hayakua utamaduni wetu ... utaona hata Timu ya Taifa ikifungwa watu hufurahi
 
Haya maneno yanawachoma sana hawa mataga
Kwa hatua waliyofikia watanzania hamuwezi fanya lolote. Mlifanya makosa sana kumpiga risasi mkifikiri mmemmaliza. Haya ndo matokeo ya kutumia nguvu badala ya akili.

Pambaneni na Lissu mliyemjenga wenyewe. Na si utani huyu mtu anapendwa kweli
 
Inasikitisha Sana watu wanasua Sua kwenda kuaga ..:. Sijui upendo na Umoja wetu Uko wapi ..:.
Siku za karibuni hatufanyi mambo kitaifa iwe sherehe au misiba

We need National Ünity .... mambo ya kuanzia kupazimisha watu kuaga hayakua utamaduni wetu ... utaona hata Timu ya Taifa ikifungwa watu hufurahi

Baada ya serikali kujua hilo, watumishi wa umma wametakiwa kwenda kuaga, ili kuleta taswira kuwa marehemu alikuwa anakubalika.
 
Hakuna atayevuruga msiba watu wanakwenda kumpokea Tundu Lisu ambaye lisaa limoja atakuwa anatua kwenye ardhi ya bongo.
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Wa kina nani wewe Kama nani unatuamrisha
 
Kama hivi baada ya kuchomwa sindano
Mbona mmeanza kuweweseka mapema sana,tulieni dawa iwaingie.
tapatalk_1492528511516.jpeg
 
Ubarikiwe sana mkuu
Wewe nenda kalime mpunga huko Simiyu. Acha kuongopea watu kuwa wewe ni polisi. Kujipendekeza kwa jiwe kutawagharimu. Hata kama ungekuwa una mamlaka ya kuzuia mapokezi ya mpendwa wetu, ungeyazuia kwa sababu gani? Ni kosa watu kumpokea mpendwa wao? Acha kujitoa ufahamu.
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Hahahaha Hahahaha kunywa sumu kabsaa ili usione pumbavu kabsaa ww
 
Back
Top Bottom