Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

Unalalamika hutoi taarifa ya kueleweka
 
Kuna wahuni wengine wako msibani wanaaga muhuni mwenzao aliyekufa kwa malaria sugu
 
Ni kipigo juu ya kipigo na jela itawahusu,kudadadeki.kutoka mpaka mwakaniiiiiiiii.
 
Ni kipigo juu ya kipigo na jela itawahusu,kudadadeki.kutoka mpaka mwakaniiiiiiiii.
Huo ujinga unawasidia nini kuwakomoa watu hujenga kiwanda? Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani inaleta pesa za kujenga viwanda?
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho hata Bashite alimuonea manji na watanzania wengi sasa na yeye yupo busy kuwarubuni vyombo vya uchunguzi vimsingizie ndungulile uongo jina lake lipate kurudi Kigamboni , akishindwa ataomba uteuzi viti kumi vya Rais apate kulindwa dhidi ya madhambi yake, wale wote wanaowafanyia mabaya wapinzani ipo siku watastaafu na kukutana nao mitaani.
 
Msiba unavurugwaje, Jana nilionja clip yaani watu wako na mawazo yao wanapita bila kutoa heshima
 

Lakini pia kumbuka kusugina ( kudharau) matakwa halali ya KATIBA juu ya VYAMA VYA SIASA ni UHUNI USIOKUBALIKA.


LAZIMA UKEMEWE.
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Utateseka sana kwa chuki uliyonayo, f*ck u 4 all hate with no reason!
 
Niko JNIA hakuna hakuna nafasi ya Kufanyia Uhuni.
 
Andiko halina akili hata chembe ...pole saana akili ndogo saana
 
Julius, Kwame, Nelson wangefikiria familia zao Uhuru usingepatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…