Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

Chadema mtulize mshono tu uyo lissu atawaponza kwanza ni msiba vurugu hatutaki
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.

Hata Mheshimiwa Benjamin William Mkapa (RIP) alituchapa!
 
Toooooh Kazi Imeanza Karata Alooh Majamaa wa Kazi Migari Meusi Bendera Nyekundu Leo Mapeeemaaa hapa KARAKATA mmmh Yaani Wamewawahi Makomandoo Wa Mitandaoni Kabla Hawajakurupuka Na Hangover za FARU John toooh mijamaa noma iko siriaz....

Aaagh niwahi Zangu Feri Miye Nikawatafutie Wanangu Riziki.....

Nitayasikia kwenye Redio...

Yetuuuu Macho.

Nchi Kwanza
Uzalendo Unalazimishwa.
Wavae nguo zote na wabebr silaha zote . Sie tunaenda kumpokea kwa amani bila fujo ila kishujaa kama CCM walivyompokea Hussein Mwinyi juzi Zanzibar
 
Lissu kateka media zote Leo, polis wakivuruga mapokezi ya lissu, siro ajiandae kuwekewa vikwazo dunia nzima, mkwara uliopigwa Ni hatari
 
We dogo umefurahi ulivojaza comment kwa post ya hovyo namna hii!?
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Mimi sijaelewa labda,hawatakiwi kuja msibani? Niliona Wana ccm wenzetu wamevaa t-shirt za ccm,kofia zenye picha ya Magufuli na wanawake wengine Jana walivaa madela yameandikwa ccm. Sasa hawa wakivaa kadet zao za kaki Kuna shida? Hawa wakivaa t-shirt zao za blue na wekundu siku ya msiba Kuna shida? Lissu akihudhuria uwanjani Kama watu wengine na akapita kuuaga mwili wa Mkapa kuna shida?
 
Wewe endelea kuota,undhani wote waliomo humu ni wakulima wa simiyu? ,sina muda wa kukuaminisha Mimi ni nani na sihitaji unijue,ila jichanganyeni kesho ndo mtakijua kilichomzui kuku kukojoa
Unajiona staaar, utafikri hii nchi ya baba yako.
 
Tatizo wafuasi wa chadema huwa nadhindwa kuelewa ilimu zenu ni za kiwango gani,unajua màana ya neno Tanzania is a sovereignty state,?
Kama nchi ni sovereignty kwanini raia hamuwapi hiyo sovereignty wampokee mpendwa wao.
 
Kwani nchi kuwa Sovereignty ndo imaaanisha waue watu wao hovyo na kuwanyanyasa???

CCM ni wapuuzi sana kwa kweli
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Yaani sijaona uhuni kama huu...tupo kwenye msiba huku CCM wakiendelea kufurai ushindi wa kura za maoni,TFF wakiendeleza ligi...aiseee.
Sasa Lissu anakuja msibani ila polisi wanamzuia kuja kuhani msiba.
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Mkapa kafariki kumbuka...
 
Yaani sijaona uhuni kama huu...tupo kwenye msiba huku CCM wakiendelea kufurai ushindi wa kura za maoni,TFF wakiendeleza ligi...aiseee.
Sasa Lissu anakuja msibani ila polisi wanamzuia kuja kuhani msiba.
Hawa watu ni takataka nakwambia. Ila waende kwetu kufanya hivi ili watanzania wawe na hasira nao zaidi kutokana na uonevu wao
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi

Yani hayo ndo matamanii yako! Kuvunja watu miguu? Kweli binadamu tumekuwa duni kuliko hata hayawani!
 
The army can’t defeat people ndugu. Huwezi vunja miguu au kupiga risasi watu 2000. Hakuna anayeweza kufanya hivyo na hata waliojaribu hawakufanikiwa
Wanajifanya sana roho mbaya wakidhani watamdhoofisha Mh.Lissu,kumbe wanamfanyia kampeni na kumuongezea umaarufu kwa uzembe wao.
Mh.Lissu alishavuka hicho kiunzi cha mauti,tutamuunga mkono ili amjambishe hiyo MTU wenu wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ujao.
Watanzania siyo wajinga sana,CCM Mpya ijiongeze na iombee CDM isimpitishe Mh.Lissu kuwa mgombea Urais,vinginevyo mtaruka kichura chura hadi Chattle.
 
Hawana akili kabisa hawa watu. Hawajui kuwa wakati umewatupa mkono na muda unavyozidi kwenda ndo hawawezi zuia hitaji la wananchi la mabadiliko
 
Back
Top Bottom