Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

what i believe watanzania wote wanazo akili timamu so waache wachague wataotaka kwenda kupokea mhuni mwenzao waachwe waende na wataoona inafaa kwenda msibani waachwe waende. I know huu msiba ungekua wa mpinzani POLICCM wangedai kibali kwenda kuaga marehem. Ifike mahala ccm ijiamini na iache roho mbaya.
 
Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.
Kauli kama hizi ziliwafanya wakina Jean Kambanda waozee jela baada ya mauaji ya 1994.
Ukijaliwa hekima na busara utafamu kwamba mwaka 2020-2021 ni wa kukaa kimya.
Unachokiona mwaka huu 2020 kinaitwa A CALM BEFORE THE STORM.
Be vigilant my friend.
 
Vijana wa lumumba vipi mbona mnakosa ustahimilivu[emoji16]tulieni tumpokee lisu and then hayo mambo mengine yaendelee.
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.

Msiba si uko Mtwara mbona umetaja Staki Shari, Buguruni na Tazara?
 
Ni kawaida kwa serikali ya ki dhalimu kutumia MAGUVU na kuzuia haki za wananchi wasio na hatia kuishi. Lakini upuuzi huu una mwisho wake mbaya sana.
 
Attachments

  • Pemba.mp4
    2.3 MB
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi

Kisha wewe unapata faida gani??
Katika hili,akili itumike,na hapa
ndipo tunapokwama kama taifa.
Angalia,hao unaowaita wahuni
wasije kukutia ulemavu.
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Msiba uko mtwara masasi mgeni anakuja kupitia JINIA shida iko wapi.? ? Wamevuruga nini?? Atakayevuruga ni yule anayeenda kujipanga kuvunja watu mifupa huku na mwingine kafariki.
 
Ni kawaida kwa serikali ya ki dhalimu kutumia MAGUVU na kuzuia haki za wananchi wasio na hatia kuishi. Lakini upuuzi huu una mwisho wake mbaya sana.
Sasa aliyeamrisha yuko wapi??
 
Kwa hatua waliyofikia watanzania hamuwezi fanya lolote. Mlifanya makosa sana kumpiga risasi mkifikiri mmemmaliza. Haya ndo matokeo ya kutumia nguvu badala ya akili.

Pambaneni na Lissu mliyemjenga wenyewe. Na si utani huyu mtu anapendwa kweli
Watanzania wangapi bro.... Au ni hapa jf tuu.... Fanyeni research mjue mtu wenu huku mtaaani anakubalika au lah sio kusifia tuuu
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Jinga kabsa wewe mwanaume mzma unaweka Dp picha ya mwanaume mwenzio au unataman ungekua unapata raha anazopewa first lady
 
Akili zingine zinaleta ukakasi sana aisee!Sasa intelijensia imesema kuna watu wanataka kuiba jeneza lenye mwili wa Mkapa kwani? Uzezeta huo na kujishukushuku tu😂😂😂😂
 
Mkuuu kaaaa kwa kutulia, Mungu keshaamua hizi ni nyakati za lisu wewe na mimi kama binadamu hatuwezi pangua jambo lililopangwa na Mungu... Kesho nunua balimi mbili tulia nyumban acha sauti ya Mungu ifanye kazi yake
 
Natamani kubadili kituo cha kazi ili kuja kuwapa funzo hao wahuni wa CHADEMA, eti karibu nyumbani lissu,huu ni upuuzi,vunja miguu wahuni wote pamoja na mhuni wao mkubwa

Sipendi upuuzi mimi
Lakini wewe mwenyewe ni mpuuzi
 
Anapendwa na nani? acheni kutafuta huruma kwenye mitandao. Huyu umaarifu wake upo mitandaoni tu hakuna la ziada hapo. Watu wa vijijini hawafahamu hata chembe ya Jina lake.
Kwa hatua waliyofikia watanzania hamuwezi fanya lolote. Mlifanya makosa sana kumpiga risasi mkifikiri mmemmaliza. Haya ndo matokeo ya kutumia nguvu badala ya akili.

Pambaneni na Lissu mliyemjenga wenyewe. Na si utani huyu mtu anapendwa kweli
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Nguruwe wa Lumumba usitishe watu
Screenshot_20200628-103658.jpg
 
As usual, again you have decided to sit on your brain!.
 
Back
Top Bottom