Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Mpumbavu wewe!
 
Lissu anaenda kumuaga baba yake mkapa unalijua hili?
 
Mbona unakuwa na kichwa kigumu kuelewa? Hawaandamani bali wanampokea mpendwa wao. Au siku hizi ni kosa kumpokea mpendwa wako?
Hawa wengi wanakuaga na uelewa mdogo sana, ndo maana huwa wanatumia nguvu nyingi kuliko akili.
 
Tatizo wafuasi wa chadema huwa nadhindwa kuelewa ilimu zenu ni za kiwango gani,unajua màana ya neno Tanzania is a sovereignty state,?
Kwani aliyekuwa raisi wa Ivory Coast alipopelekwa The Hague nchi yake haikuwa Sovereign State??

Kwani Omar Al Bashir alipotolewa arrest warrant na wakuu wake wa vyombo na ICC nchi yake haikuwa Sovereign State???

Slobodan Milosevic wa Yugoslavia alipokamatwa na watu wake nchi yake haikuwa Sovereign State???

Nadhani wewe upeo wako ndo mdogo sana ndugu???? Au ndo mmearirishwa na mzee wa kuwaingiza chaka Profesa wa jalalani kabudi Eti Sovereign State alafu mnajitamkia tu????
 
Mtu akiwa polsi anakuwa na ujinga mwingi kichwani, sasa kuwa polsi ni sifa au ni utumwa, naona unalewa kodi zetu.
Huyo hata sio polisi. Ni mkulima mmoja wa mpunga huko Simiyu ila anataka kuongopea watu eti ni polisi. Njaa kali tu huyo mkulima wa jembe la mkono.
 
Wewe kweli changamoto,nani na niwapi nimesema Mimi polisi? Ila jichanganyeni kesho muone
 
Tatizo wafuasi wa chadema huwa nadhindwa kuelewa ilimu zenu ni za kiwango gani,unajua màana ya neno Tanzania is a sovereignty state,?
Unaongea upuuzi kwani libya ilikuwa nchi ya namna gani? Unakalili vitu kutoka shuleni unataka kuviapply kwenye real life? Kwa hiyo ikiwa sovereignty state unaruhusiwa hata kuua raia? Ujinga kweli mzigo.
 
Watanzania tuna tatizo kubwa la uelewa! Mfano unaweza ukawa mbwa koko halisi kabisa lakini usijiue kama mwenyewe ndiyo
 
Unaongea upuuzi kwani libya ilikuwa nchi ya namna gani? Unakalili vitu kutoka shuleni unataka kuviapply kwenye real life? Kwa hiyo ikiwa sovereignty state unaruhusiwa hata kuua raia? Ujinga kweli mzigo.
Tukutane kesho kwenye mapokezi ya jembe lissu
 
Hii inji ni ya watanzania wote sio ya polisi wala viongozi. Kesho mapemaaaa kumpokea Rais Lissu mtake msitake. Mkiweza tumiminieni risasi nasie wote tutaokua pale.
 
Tukiwa katika Majonzi kuna watu wanataka kuvuruga msiba kwa lengo la Kutafuta umaarufu wa Kiasiasa msibani si mahali pake naomba Wakuu wa Vituo vya Staki Shari, Buguruni na Tazara msimamie hili hatuko tayari kuona mambo ya Kihuni yakijitokeza katika Taifa letu lenye tunu ya amani.

Kwa Vijana mliohamasishwa napenda kuwakumbusha wenzenu watakua kwenye V8 zao nyinyi mtakua mnachezea kipigo cha mbwa koko.

Fikiria wazazi wako Fikiria Familia yako kwa Kufanya mambo yasiyo na tija kwako na kwa familia yako kwa kujipatia majeraha kadha wa Kadha kwa kutotii sauti halali ya Mamlaka.

Vijana tuungane pamoja vitendo vya kihuni na Vurugu Tanzania si mahali pake. Nabariki njia yeyote itakayotumika kuwadhibiti wahuni wataojaribu kuharibu utulivu tulionao.
Police bhana mnataabu sana
 
Waacheni wakaipokee bombadier yao; kama zilivyopokelewa nyingine!
 
Back
Top Bottom