Oleksandr Usyk amtwanga Tyson Fury na kuwa Undisputed Heavyweight Champion...

Oleksandr Usyk amtwanga Tyson Fury na kuwa Undisputed Heavyweight Champion...

Kuna mabondia game zao za mwisho huwa zinafanya utabiri kuwa rahisi,
Devin Haney vs Loma ( Hapa Devin alichapwa vizuri tu, nikajisemea next game atamalizwa ( KO) pamoja na kuwa alibebwa na majaji kwenye matokeo).
Fury vs Ngannou nilijua tu game ijayo furry atachapwa kwa( KO) .
na ilikuwa ni Knokout ile alishasanda.
Note: marefa wanaharibu mchezo kuna namna wanalazimisha mchezo umalize round zote ili iwe rahisi kupanga matokeo ya upendeleo. Huwa wanawaokoa wanaowapenda wasichezee Kipigo cha KO.
Kupitia mapambano hayo mawili hapo juu kila kitu kinajieleza.
Mtu pekee ambaye naona hana utata kwenye matokeo ni Gervota Davis
 
Pambano lilipaswa kuisha raundi ya 9 ila refa aliamua kumbeba Fury.

Usyk akija kumpiga Wilder, atakuwa kamaliza kila kitu kwenye Heavy-Weight boxing.
Bado kuna Joseph Parker na Andy Ruiz.

Pambano la Andy Ruiz na Usyk litakuwa tamu zaidi
 
Safi sana tena sana. Huyo clown nilikua simpendi mshenzih mmoja tu hana lolote. Dharau na ubaguzi mwing
 
Nimefurahi sanaaa sanaaaa. Huyu Fury ana maneno machafu sana na mikogo kibao kama ana Autism
Jinga sana boya lile..nimefurah sana..nmeenda kumtukana sana kwenye page yake
 
Kuna mabondia game zao za mwisho huwa zinafanya utabiri kuwa rahisi,
Devin Haney vs Loma ( Hapa Devin alichapwa vizuri tu, nikajisemea next game atamalizwa ( KO) pamoja na kuwa alibebwa na majaji kwenye matokeo).
Fury vs Ngannou nilijua tu game ijayo furry atachapwa kwa( KO) .
na ilikuwa ni Knokout ile alishasanda.
Note: marefa wanaharibu mchezo kuna namna wanalazimisha mchezo umalize round zote ili iwe rahisi kupanga matokeo ya upendeleo. Huwa wanawaokoa wanaowapenda wasichezee Kipigo cha KO.
Kupitia mapambano hayo mawili hapo juu kila kitu kinajieleza.
Mtu pekee ambaye naona hana utata kwenye matokeo ni Gervota Davis
Refa kambeba Fury, ktk round ya Tisa,9 ilikuwa KO kabisa. Refa kaamua kumtunzia heshima tu, hebu tizama.
 
Ww ndio hujui kitu huyo Wilder Hana hata stamina Mandonga mtu kazi anaenda naye round 12 zote
Wilder anapiga huyo usyk sekunde tu.
Msichoelewa Usyk hana speed,hawezi kwenda kabisa na speed ya wilder.
Joshua na Fury watoto wa mama tu.
Wilder jiwe
 
Kama 37 ni babu bila shaka wewe utakuwa under 15 umri wako bado mdogo kuwa member wa jf subiri ukue kwanza.
Umri mdogo lakini mwili wazungu wanazeeka mapema. Maana mimi nina 40 hapa lakini nikikutana nae naweza toa shikamoo.
Halafu na wewe tuheshimiane tafadhali.
 
Deontay Wilder anamchapa huyo mchana kweupe tu.

Wilder anapiga huyo usyk sekunde tu.
Msichoelewa Usyk hana speed,hawezi kwenda kabisa na speed ya wilder.
Joshua na Fury watoto wa mama tu.
Wilder jiwe
Hizi ngumi huwa mnaziangaliaje? Wilder ni hard puncher. Usyk ni fighter mwenye stamina na pumzi.
Kama uliona pambano la diaz na wilder ndio utanielewa. Wilder alishaelemewa kabisa. Akapata hook punch ya maana, ikamrudisha mchezoni.
 
Back
Top Bottom