Kuna mabondia game zao za mwisho huwa zinafanya utabiri kuwa rahisi,
Devin Haney vs Loma ( Hapa Devin alichapwa vizuri tu, nikajisemea next game atamalizwa ( KO) pamoja na kuwa alibebwa na majaji kwenye matokeo).
Fury vs Ngannou nilijua tu game ijayo furry atachapwa kwa( KO) .
na ilikuwa ni Knokout ile alishasanda.
Note: marefa wanaharibu mchezo kuna namna wanalazimisha mchezo umalize round zote ili iwe rahisi kupanga matokeo ya upendeleo. Huwa wanawaokoa wanaowapenda wasichezee Kipigo cha KO.
Kupitia mapambano hayo mawili hapo juu kila kitu kinajieleza.
Mtu pekee ambaye naona hana utata kwenye matokeo ni Gervota Davis