Bado kuna Joseph Parker na Andy Ruiz.Pambano lilipaswa kuisha raundi ya 9 ila refa aliamua kumbeba Fury.
Usyk akija kumpiga Wilder, atakuwa kamaliza kila kitu kwenye Heavy-Weight boxing.
Deontay Wilder anamchapa huyo mchana kweupe tu.Kutokea?. Kampiga Joshua na kampiga na Gipsy King. Unadhani ni kazi ndogo.
Jinga sana boya lile..nimefurah sana..nmeenda kumtukana sana kwenye page yakeNimefurahi sanaaa sanaaaa. Huyu Fury ana maneno machafu sana na mikogo kibao kama ana Autism
Inahusiana nini na huu mjadala we mamaUmejishibia zako mkologo wa 600 unapiga kelele tuu
HUYO CLOWN WA UK ana nini cha maana zaidi ya ubaguzi na dharau tuUrsyk hata sio mpiganaji mahiri anaotea tu
Refa kambeba Fury, ktk round ya Tisa,9 ilikuwa KO kabisa. Refa kaamua kumtunzia heshima tu, hebu tizama.Kuna mabondia game zao za mwisho huwa zinafanya utabiri kuwa rahisi,
Devin Haney vs Loma ( Hapa Devin alichapwa vizuri tu, nikajisemea next game atamalizwa ( KO) pamoja na kuwa alibebwa na majaji kwenye matokeo).
Fury vs Ngannou nilijua tu game ijayo furry atachapwa kwa( KO) .
na ilikuwa ni Knokout ile alishasanda.
Note: marefa wanaharibu mchezo kuna namna wanalazimisha mchezo umalize round zote ili iwe rahisi kupanga matokeo ya upendeleo. Huwa wanawaokoa wanaowapenda wasichezee Kipigo cha KO.
Kupitia mapambano hayo mawili hapo juu kila kitu kinajieleza.
Mtu pekee ambaye naona hana utata kwenye matokeo ni Gervota Davis
Ww ndio hujui kitu huyo Wilder Hana hata stamina Mandonga mtu kazi anaenda naye round 12 zoteSio bondia mzuri hata Fury mzembe tu.
Kiujumla HW hamna bondia kwasasa.
Labda Wilder.
Kama 37 ni babu bila shaka wewe utakuwa under 15 umri wako bado mdogo kuwa member wa jf subiri ukue kwanza.87 mbona babu?
Wilder anapiga huyo usyk sekunde tu.Ww ndio hujui kitu huyo Wilder Hana hata stamina Mandonga mtu kazi anaenda naye round 12 zote
Hongera zakee lo
Umri mdogo lakini mwili wazungu wanazeeka mapema. Maana mimi nina 40 hapa lakini nikikutana nae naweza toa shikamoo.Kama 37 ni babu bila shaka wewe utakuwa under 15 umri wako bado mdogo kuwa member wa jf subiri ukue kwanza.
Deontay Wilder anamchapa huyo mchana kweupe tu.
Hizi ngumi huwa mnaziangaliaje? Wilder ni hard puncher. Usyk ni fighter mwenye stamina na pumzi.Wilder anapiga huyo usyk sekunde tu.
Msichoelewa Usyk hana speed,hawezi kwenda kabisa na speed ya wilder.
Joshua na Fury watoto wa mama tu.
Wilder jiwe
Ursyk hata sio mpiganaji mahiri anaotea tu
Jinga sana boya lile..nimefurah sana..nmeenda kumtukana sana kwenye page yake