Olengurumwa asimulia alichoambiwa na Padre Kitima baada ya kumtembelea hospitali

Kila mtu abebe msalaba wake

Kitima na mikwara yote ile kumbe anakua chakari
We mbugila huyo mzee inaashiria alifanyiwa Ambush. Yani kuna raia walikuwa wanamlia rada Big time wakapata chance ya kwenda ku attack alipoingia chooni tu.

Ina maana muda wote anapoendesha kikao walikuwepo wanasubiria timming nzuri. Wakaona wa impose attack alipoinuka na kuingia msalani.
 
Wengine wanaandika humu eti yalipangwa 2014!!
 
Jamii na taifa tunarudi kwenye ujima.
Matendo kama haya na yanayofanana na hayo ni ya kijima.
Kulaani kwa maneno tu hakutoshi, lazima jitihada za kuwatambua wahusika kwa ushahidi zifanyike na kuwadhibiti ili wasirudie.
Raia wasaidie polisi kwa kuwapa ushahidi (waweza kuwa wa moja kwa moja au kwa njia za kielektroniki).
 
H

Hii nchi tatizo watu wengi tuliyokuwepo ni wajinga sana na hii nikwakuwa tumeshalelewa kiwoga woga kutishwa
 
Niliombe kanisa katoliki, liwe makini na wanaoenda kumsalimia Padri Charles Kitime, maadui zake wanaweza kutumia hiyo fursa kutimiza malengo yao.
Maana leo amepata nafasi ya kuonge na Watanzania huko Siginda lakini hajaonyesha kuchukizwa na hili tukio la Father Kitime, inaonekana kafurahia ndio maana hakusema chochote kwenye hotuba yake.
 
Niliombe kanisa katoliki, liwe makini na wanaoenda kumsalimia Padri Charles Kitime wachukue tahadhari, wasimwamini yeyote yule ikiwezekana ahamishwe hospitali.

maadui zake wanaweza kutumia hiyo fursa kutimiza malengo yao.

Maana leo amepata nafasi ya kuonge na Watanzania huko Siginda lakini hajaonyesha kuchukizwa na hili tukio la Father Kitime, inaonekana kafurahia ndio maana hakusema chochote kwenye hotuba yake.
 
Niliombe kanisa katoliki, liwe makini na wanaoenda kumsalimia Padri Charles Kitime wachukue tahadhari, wasimwamini yeyote yule ikiwezekana ahamishwe hospitali.

maadui zake wanaweza kutumia hiyo fursa kutimiza malengo yao.

Maana leo amepata nafasi ya kuonge na Watanzania huko Siginda lakini hajaonyesha kuchukizwa na hili tukio la Father Kitime, inaonekana kafurahia ndio maana hakusema chochote kwenye hotuba yake.
 
Shekhe Mwaipopo hajakuwepo kwenye hilo kusanyiko?
 
Tweet ya yule Dr Frey mbona Iko wazi
 
Na Mzanzibari amefurahihaswa, umemsikia kwenye hotuba yake ya mei mosi Siginda kulaani hilo jambo?
 
Kitima nje ya ajira yake ya kanisa, ni mtu binafsi na si kanisa katoliki, asiinuliwe sana kama vile ye ndyo kama Jesus, eti ameshambuliwa na serkali (kaizari), hawa watawa mtaani wana hustling kama sisi, na wana bifu nyingi na wananchi/waumini
 
Sitashangaa tukiamka na kukuta jaji mkuu anafanya yake kabla ya wakati uliopangwa.
 
TEC pale zamani ilikuwa primary school ya Wakatoliki ,Salvatorian Sisters. In fact ilikuwa inaitwa Salvatorian Primary School. Ndipo niliposoma primary school.
Pia walikuwepo watoto wengine wa mawaziri pale. Bomani,Sijaona,Tewa,Shaba,Kamaliza and I don't know who else.
Nikaenda pale siku moja. There was a meeting.
Lakini sikuitambua shule yangu ya zamani.
Kulikuwa na mkutano wa nini sijui pale,nikaamua kuondoka mapema.
Nikawa natembea,mpaka nikakaribia kutoka nje ndio nikaikumbuka.
Nikawa natembea mbele nalitazama lile jengo lolilopo karibu na geti.
Nikakumbuka,"Kile chumba cha darasa la kwanza. Sister Helena alikuwa anawafundisha watoto wa darasa la kwanza pale."
And then I started walking backwards.
And then I looked at the place.
Nikaona, indeed,hii ndio shule yetu ya zamani.
 

Ni sawa na kusema sasa hata Tanganyika dini Rasmi ni Uislama kama ilivyo Zanzibar ukristo hauna nafasi .

Wakristo wote ndani na nje ya Tanzania wakikaa kimya na kumshabikia miaka mitano tena basi wajue wazi wamebariki Kufifishwa kwa Kanisa kama ilivyo kule Zanzibar na nchi zote za Kiislam kama Somalia Sudani ya Kaskazini , Saudi Arabia na Korea Kaskazini .

Kuna wale wakristo Wapumbavu wanaoliona kanisa Katoliki kama kikwazo cha watu kuingia kwenye makanisa yao ya kibinafsi maarufu kama ya Kilokole na yale mengine ya kukurupuka bila kuwaza Sawa sawa.

Duniani Kote Kanisa katoliki ndilo Mwangalizi na msimamizi wa Haki za Wakristo kuabudu .
Kanisa Katholiki kama leo huo linaondoka Duniani, wakristo wote watauawa na Magaidi chini ya dini yao wakishirikiana na Mafisadi wa dunia wenye uchu wa kujilimbikizia zote rasilimali za dunia .
Kanisa katoliki limekua kama check and balance wa siasa za dunia nzima.

Ukisikia Mkristo yupo Salama kule Iraki ujue ni Kwa sababu ya kanisa katoliki . Ukijaribu Kuwaua wakristo popote duniani kanisa Katoliki linapaza Sauti na hata kushinikiza hatua zichukuliwe vinginevyo kuna nchi wakristo wangeuawa kama Kuku bila hizo kujali.

Kwa mkristo yeyote kuungana na wauaji kwa sababu tu yeye ni dhehebu lingine ni upumbavu mkubwa kwa sababu hata kule kwenye wakristo wachache sana duniani bado kanisa katoliki ndilo lililoko huko na kujitoa mhanga hata kufa kutafuta uhuru na haki ya kuabudu na uhuru na haki inapopatikana ndipo haya makanisa mengine yanakuja kuwashawishi wale waliofundishwa na Kanisa katoliki( Yaani makanisa mengine hasa haya ya kilikole ni sawa na mvuvi anayevuta samaki waliko kwenye Tenga na sio baharini kwenye Dharuba kali ), ndio maana hata hapo Pemba tu hakuna makanisa ya upako yanayofunguliwa au kwenda kuhubiri Uarabuni au hata Pemba na Somalia !Wanasubiri Papa na kanisa lake waweke mikataba ya kutoa haki na uhuru wa kuabudu ndio na wao wafurahie uhuru huo.
Wanasubiri siku haki ya kuabudu Imepatikana ndipo kwa dini zote ndipo watakapoanza kuuza chumvi bila kujua kuwa Kanisa Katoliki ndilo lililotoa mchango mkubwa sana wa kupatikana kwa uhuru wa kuabudu.

Hakuna uhuru wa kisiasa kwenye nchi za Kiislam .
Hakuna uhuru wa kiuchumi kwenye nchi za kiislam kwa mtu asiye muislam .
Hakuna uhuru wa kijamii kwenye nchi za kiislam kwa mtu asiye muislam .
Hakuna uhuru wa kuabudu kwenye nchi za kiislam .
Hakuna haki ya kuishi kwenye nchi za kiislam kwa mtu asiye muislam .
Hakuna haki ya kuoa kwenye nchi za kiislam .
Hakina haki ya kuzaa kwenye nchi za kiislam kwa mtu asiye muislam.
Hakuna haki ya kulalamika kwenye nchi za kiislam kwa mtu asiye muislam.
Hakuna haki ya kuandamana kwenye nchi za kiislam kwa mtu asiye muislam.
Hakuna haki ya hata kumwomba Mungu kwenye nchi za kiislam kwa mtu asiye muislam (Yaani huruhusiwi kuonekana na Biblia au ukisoma Biblia Saudi Arabia ) Wanahisi kwamba una lengo la kueneza ukristo kwenye nchi yao jambo ambalo ni kosa.

Kwa hiyo Mtanganyika yeyote asiyependa ubaguzi huu asimame na Viongozi wa dini kupinga haya mambo yanayotaka kuletwa huku na hawa wajukuu wakishirikiana Watawala wa CCM iliyonunuliwa na Matajiri wa Dubai na Waarabu .
Hawa Watatuharibia nchi kwa sababu ya Tamaa ya madaraka na uwakala wa Rasilimali za Tanganyika kwa Waarabu kama dili lao .

Mapadri wameanza kuuawa ni Mkristo gani yupo Salama . Miaka yote tunajua kuwa CCM na dola lake ilikua inawaheshimu sana Maaskofu na kanisa Katoliki leo CCM ya Awamu ya Sita ya Wahuni akina Kafulila , Kitilya Mkumbo Wasira ,Makala ,Chalamila na serikali yao wameuza eneo lote la Kurasini yote na Bandari zote ikiwemo maeneo ya vyombo vya dola sasa anataka kuwatisha na kuwamaliza maaskofu na mapadri na Wakatoliki wote na himaya yao kubwa kabisa Tanzania na Afrika nzima iliyoko kurasini na kisha kuwapa waarabu . Kuanza kuwaua mapadri ni jaribio la kuwaondoa pale kurasini ili kuwapa waarabu eneo lote . Hii sio sawa .

CCM Mwacheni Mama Samia astaafu kwa Wema akapumzike kwao Oman. Atatuharibia nchi na misheni yake na mfia dini Jumanne Mulilo.

Jambo rahisi sana ni kuleta wachunguzi kutoka nje na kisha kufuatilia orodha ya wale waliokuja pale kwanye kikao lakini pia kupata finga printi zao.

Jeshi la polisi limenyamazia kujeruhiwa kupigwa na kuuawa kwa wanaokosoa seikali ya CCM tena wakiongozwa na Mulilo sasa ni vipi huyu mkosoaji mkubwa aliyekua anachukiwa na Samia wazi wazi na Makada wa CCM leo hii eti waliohusika watakamatwa .!
Hii ni move kama ile ya kifo cha Dr. Sengondo Mvungi na Meja General Imrani Kombe .
Hakuna uchunguzi utakaofanyika . Kanisa katoliki Duniani litambue tu kuwa Kanisa lipo hatarini Tanzania .
Waungane na kufunga kwa maombi na sala wamkabidhi Mungu aamue kesi hii ya uonevu kwa Viongozi wa dini kuanza kutafutwa ili kuuawa .

Mama Samia anaturudisha kwenye zama za giza la mateso kwa kanisa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…