Olengurumwa asimulia alichoambiwa na Padre Kitima baada ya kumtembelea hospitali

Olengurumwa, Mange Kimambi, Maria Sarungi ndio walewale mnaotuletea stori zao humu jamvini!
Watanzania hawajawahi kukubali usanii wao...tuleteeni wengine
 
Kayombo na Mkude ni akina nani?
 
STC
 
Mkuu Poppy Hatonn asante kwa bandiko hili。
P
 

Theories
 
Kitima nje ya ajira yake ya kanisa, ni mtu binafsi na si kanisa katoliki, asiinuliwe sana kama vile ye ndyo kama Jesus, eti ameshambuliwa na serkali (kaizari), hawa watawa mtaani wana hustling kama sisi, na wana bifu nyingi na wananchi/waumini
Doctori at his best!
Hizi shule mnakwenda kupoteza muda?
 
Hao watu waliwezaje kuingia eneo la maaskofu pasipo kujulikana??
 
Korea Kaskazini .
nimejikaza kweli kusoma andiko refu hili mkuu '1000 digits'. Sijui kwa nini umeiweka hiyo Korea Kusini hapo.

Kuna mambo mazito umeyazungumzia kwenye andiko hili.
Mimi nachukwa la huyu Mama Samia na uongozi wake kwa nchi hii.
WaTanzania watafanya makosa makubwa sana kuruhusu huyu mama aendelee kuwa kiongozi kwa miaka mitano mingine. Huyu Hafai; na baadhi ya mambo uliyo yajadili wewe ni miongoni mwa sababu hizo za yeye kutokuwa kiongozi mzuri kwa nchi yetu.

Sasa amekwisha jiandaa, kwa lolote liwalo aendelee kuwepo kwenye uongozi. Hata kama waTanzania wakipoteza maisha, hilo kwake siyo la kumzuia tena. Watu ni lazima sasa tuelewe hivyo.
Kumzuia asiendelee, maana yake ni kupigana naye; siyo kubembeleza tena. Kwa hiyo ni lazima sasa tujiandae kwa hatihati hii anayotuweka huyu mwanamke.

Mazoea ni jambo baya sana, hata kama ni jambo zito unapoanza kulizoea unaanza kuliona kama jambo la kawaida sana.
Hii inanikumbusha kifo cha Mzee Ally Mohamed Kibao; kifo ambacho ukatili wake ulishangaza wengi. Baada ya kusubiri uchunguzi wa haraka ulio ahidiwa kwa kifo hicho, na sasa kukifanya kama hakikuwepo kabisa,... uzoefu wa kufanya jambo kama hilo sasa ni kama jambo la kawaida sana kwa kiongozi huyu. Sasa hakuna tena kinachomstua.
 
Wajichunguze wenyewe sio, ulishaambiwa kuwa mazingira ya kupita bila kupingwa hayaji yenyewe automatically bali kuna watu wanatokea maporini na mmojawapo ni yeye, mpaka hapo hujaelewa tu.
 

Nimeandika Korea ya Kaskazini maana kule hakuna haki na uhuru wa kuabudu.

Korea ya Kusini kuna demokrasia na uhuru na pia kuna maendeleo makubwa ya kisayansi ,viwanda na uchumi wakati kaskazini wanawaza ubabe tu wa kutumia nguvu .

Lakini Ally Kibao alikataa kutumika kama Chawa wa Kusifia.
Lakini pia panapokuwa na Rais mungu mtu ni rahisi sana watu kufikia hata mahali pa kumwabudu kama Mungu kwa sababu ana uwezo mkubwa sana wa kuathiri maisha ya mtu ama kumpatia mafanikio ya haraka sana au kumwangamiza kabisa .

Sasa inapotokea kwa mfano Rais wa dini fulani na akaamua kuitumia dini hiyo kulinda kiti chake basi kila mtu wa dini yake arakayempinga atakiona cha mtema kuni ili kuhakikisha wale wa dini yake wote wanakua upande wake . Hiyo hata Kipindi cha JPM kila Msukuma aliyempiga akishughulikia na kujiona hana bahati .

Kwa hiyo tegemea sana kuona wengi wenye imani ya dikteta uchwara wataimba nyimbo za sifa na wale wasiokubaliana na huo mtindo watashughulikiwa ili kutisha wenzao na pia . Ni lazima wale wa upande wa kule anapotoka nao watishwe ili kumuunga mkono kwa kulamishwa asali ya misitu ya Tanganyika .

R.I.P Ally Kibao . Kifo chako lilikua ni uzinduzi wa matukio mabaya kwenye ardhi ya Tanganyika kwa kauli mbiu ya kifo ni kifo tu.
 
Hao ni Uvccm ndiyo wamefanya hilo shambulio hawawezi kuguswa wanamfurahisha Mzanzibari.
Adolf Hitler alitumia utaratibu wa kuwashambulia watu walikua wanaikosoa serikali iliyoko madarakani na akaenda mbali pia na kuwashambulia wafuasi wake ili kujijenga kisiasa..makundi kama black shirt na Gestapo. Ukweli alifanikiwa sana
 
Ina maana kwenye eneo ilo mtu yeyote anaweza kuingia?
 
Nyie wote ni wafuasi wa utamaduni wa mzungu..UKOLONI MAMBO LEO
 
Unawajua NIDA ni akina na ni mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…