WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,307
- 953
Kumbe ndani ya watu 100 walioitwa viongozi wa dini kulikuwa na wauaji 2?
Amka kushakucha, si mlete wale wa Italy waje kuchunguzaWatu wa kanisa fanyeni mpango mchukue fingerprints kwenye vitu au vyombo walivyotumia washambuliaji.
Serikali itoe ushirikiano kwenye database ya fingerprints za NIDA na Tume ya Uchaguzi.
Lengo serikali ijivue lawama.
Hii ni aibu kubwa.
Kuna watu wanataka utabiri wa kikaratasi cheupe wa TumainiEL utimie.
Watu waliomshambulia Fr.Kitima wanampango wa kumchafua na kumharibia .....
Daah kijana una akili sijapata kuona hapa pana point ya kutafakariWaraka wa Did ni kwa Waislamu, Waraka wa TEC ni kwa Wakatoliki, Waraka wa Askofubagonza ni kwa projoforum. Kwa nini Fr Kitima awakudanye pamoja ili wazitafakari? Ili iweje? Yaani Waraka wa Iddi unawahusu nini Walokole kwa kuunganishwa na Padri Kitima kama siyo kutengeneza Axis of Evil wa Dini dhidi ya Serkali?
Ila kwa hili la Dr. Kitima Samia amekanyaga live wireAdolf Hitler alitumia utaratibu wa kuwashambulia watu walikua wanaikosoa serikali iliyoko madarakani na akaenda mbali pia na kuwashambulia wafuasi wake ili kujijenga kisiasa..makundi kama black shirt na Gestapo. Ukweli alifanikiwa sana
YaaniWa kikosi kazi.
HAki haki haki....acheni porojoWaraka wa Did ni kwa Waislamu, Waraka wa TEC ni kwa Wakatoliki, Waraka wa Askofubagonza ni kwa projoforum. Kwa nini Fr Kitima awakudanye pamoja ili wazitafakari? Ili iweje? Yaani Waraka wa Iddi unawahusu nini Walokole kwa kuunganishwa na Padri Kitima kama siyo kutengeneza Axis of Evil wa Dini dhidi ya Serkali?
Ili iweje! Dawa ni novena tu. Wapukutike wote waliohusika na hata waliosikia mpango huo wakanyamazaWatu wa kanisa fanyeni mpango mchukue fingerprints kwenye vitu au vyombo walivyotumia washambuliaji.
Serikali itoe ushirikiano kwenye database ya fingerprints za NIDA na Tume ya Uchaguzi.
Lengo serikali ijivue lawama.
Hii ni aibu kubwa.
Kuna watu wanataka utabiri wa kikaratasi cheupe wa TumainiEL utimie.
Watu waliomshambulia Fr.Kitima wanampango wa kumchafua na kumharibia .....
Wanakojoza sana wake za watuKitima nje ya ajira yake ya kanisa, ni mtu binafsi na si kanisa katoliki, asiinuliwe sana kama vile ye ndyo kama Jesus, eti ameshambuliwa na serkali (kaizari), hawa watawa mtaani wana hustling kama sisi, na wana bifu nyingi na wananchi/waumini
Umesema kweli sana! Ila watakuelewa??? Fisiemu ni wapuuzi sana!Watu wa kanisa fanyeni mpango mchukue fingerprints kwenye vitu au vyombo walivyotumia washambuliaji.
Serikali itoe ushirikiano kwenye database ya fingerprints za NIDA na Tume ya Uchaguzi.
Lengo serikali ijivue lawama.
Hii ni aibu kubwa.
Kuna watu wanataka utabiri wa kikaratasi cheupe wa TumainiEL utimie.
Watu waliomshambulia Fr.Kitima wanampango wa kumchafua na kumharibia .....
Vipi tena dada mbona umepaniki sana Father Ktm alikuingizia ncha kali ya sindano makalioni nini ? Mbona umestuka hivo jamaniKila mtu abebe msalaba wake
Kitima na mikwara yote ile kumbe anakua chakari
Kwahiyo kila atakae kutana na shida kama hizo basi ni serikali nk..HAPANAIla kwa hili la Dr. Kitima Samia amekanyaga live wire
huyoKwahiyo kila atakae kutana na shida kama hizo basi ni serikali nk..HAPANA
Sifa zooote nchi hii ni kwa Samia, basi na lawama zooote abebe yeye tuache double standard.Kwahiyo kila atakae kutana na shida kama hizo basi ni serikali nk..HAPANA
Okay sawa.Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, amemtembelea Padri Dkt. Charles Kitima katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam, kufuatia tukio la kushambuliwa na watu wasiojulikana.
Padri Kitima, ambaye ni mmoja wa viongozi wa dini wanaoheshimika nchini, alishambuliwa siku ya jana na watu wawili waliomvamia akiwa chooni.
Amesimulia kuwa watu hao walionekana awali wakila katika mgahawa wa TEC uliopo ndani ya eneo hilo kabla ya kutekeleza shambulio hilo la ghafla.
Kitima alimwambia Olengurumwa kuwa siku hiyo alikuwa ameitisha mkutano wa viongozi wa dini mbalimbali ili kutafakari ujumbe walioutoa wakati wa Pasaka na Sikukuu ya Eid kwa Serikali. Wakati akiwa kwenye mgahawa ambao upo ndani ya eneo la makazi ya Maaskofu kwenye ndipo tukio hilo lilipotokea.
Shambulio hilo linazua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa lilitokea katika mazingira ambayo yalihusisha shughuli ya kidini.
View attachment 3322668