Olengurumwa asimulia alichoambiwa na Padre Kitima baada ya kumtembelea hospitali

Kibibi kimenogewa na madaraka kinaia tu..sjenzyy
 
Politics for politicians...., sio vinginevyo
 
Seri
Serikali ipi Mkuu wakati mtuhumiwa no moja ni wao??
 
Nilivyoona Wakina Steve Nyerere wanamshambulia Kitima nilijiskia vibaya japokua mimi Mwana CCM na kadi yangu nimelipia miaka mitatu hoja haipigwi rungu
 
Korea ya Kusini kuna demokrasia na uhuru na pia kuna maendeleo makubwa ya kisayansi ,viwanda na uchumi wakati kaskazini wanawaza ubabe tu wa kutumia nguvu .
Maendeleo ya Korea Kusini siyo kwa sababu ya kuwepo kwa demokrasia. Wakati hayo maendeleo unayoyasema yalipokuwa yakijengeka utawala ulikuwa wa kidikteta. Sijui kama bado utasema China wamepata maendeleo kwa sababu ya uwepo wa demokrasia huko?
Kuhusu Korea Kaskazini, unaandika kama kasumba ya nchi za magharibi imekujaa sana kichwani. Inaelekea vyanzo vyako vya habari ni hivyo hivyo vya magharibi, na kwa bahati mbaya huna uwezo wa kuchuja hizo habari mwenyewe.
 
NI sawa na kumashambulia member WA NATO .hapa umeshambulua NATO wote.
 
Nilivyoona Wakina Steve Nyerere wanamshambulia Kitima nilijiskia vibaya japokua mimi Mwana CCM na kadi yangu nimelipia miaka mitatu hoja haipigwi rungu
Vumilia political views za wengine, hata kama hukubaliani nao, hiyo ndyo siasa 😀
 
Mzanzibar anaanza kuonyesha sura yake, subiri mmpe awamu ya 2, mtalia na kusaga meno
 
Kwa hiyo huo udikteta wa Karne tufanye ndio Chanzo Cha maendeleo kwenye Karne ya kistaarabu na teknologia mpya!Hapo Mkuu hauko sawa.
 
Kwa hiyo huo udikteta wa Karne tufanye ndio Chanzo Cha maendeleo kwenye Karne ya kistaarabu na teknologia mpya!Hapo Mkuu hauko sawa.
Mimi sijasema hivyo, ni wewe unaye hitimisha hivyo. Ungesoma vizuri na kuelewa kilicho andikwa na kukitafakari vizuri usingekuja na hitimisho kama hilo ulilofanya wewe.
 
Mimi sijasema hivyo, ni wewe unaye hitimisha hivyo. Ungesoma vizuri na kuelewa kilicho andikwa na kukitafakari vizuri usingekuja na hitimisho kama hilo ulilofanya wewe.
Usiwe mkali humu,utapata pressure Bure!Huku ni uwanja wa mambo ya jamii,huwezi Nyamaza Kimya!
 
..imetoka kwangu, si LAZIMA nikufurahishe wewe, pita endelea na mengine, dont suffer for me "the World is Living Suffering is Your Choice"
Duh!
Sasa unadai nataka unifurahishe mimi, unayo akili timamu kweli?
Why should I suffer for an individual like yourself; are you nuts?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…