Olengurumwa asimulia alichoambiwa na Padre Kitima baada ya kumtembelea hospitali

Non sense, kunywa au kutokunywa chochote kisicho kinyume na katiba siyo kutenda kosa. Kwa hivyo alidhuriwa Kwa sababu alikunywa?
 
Usiwe mkali humu,utapata pressure Bure!Huku ni uwanja wa mambo ya jamii,huwezi Nyamaza Kimya!
Ahsante sana kwa ushauri wako mkuu 'Kimwakaleli', labda nikukumbushe tu kwamba sijaja humu leo au jana, na wala sina mpango wa kuondoka kesho Muumba wangu akijaalia. Kwa hiyo usiwe na shaka yoyote juu yangu.

Lakini ushauri wangu kwako nasisitiza tena, kwa maana naona unapata taabu sana kuelewa ninacho andika.
 
Hiv Luca mwashabwa Anaishi wap
 
Duh!
Sasa unadai nataka unifurahishe mimi, unayo akili timamu kweli?
Why should I suffer for an individual like yourself; are you nuts?
Yes, I am crazy/wackyπŸ˜€ and u' r already suffering, ukiwa neutral, non partisan na si mfuasi wa dhehebu lolote la dini, unakuwa huru na amani, na huwezi hangaika na hizo perceived negative comments zinazokuudhi (illusions)
 
Yes, I am crazy/wackyπŸ˜€ and u' r already suffering, ukiwa neutral, non partisan na si mfuasi wa dhehebu lolote la dini, unakuwa huru na amani, na huwezi hangaika na hizo perceived negative comments zinazokuudhi
There's nothing like ,"being neutral or non partisan" when it involves issues of our nation. We have to be pro-Tanzania above all else. That is not being neutral or non partisan.
Kuwa mfuasi wa dini has nothing to do with our common interest of ensuring the well being of our nation.
Tatizo lako, tokea nianze kukusoma humu, wewe unaendeshwa zaidi na dini juu ya kingine chochote; and tht's where we differ irevocably.
 
As individual I am a NATION, blabla zingine ni ziada, dini ni big scams, hizo dini so far, zimesababisha maafa kwa binadamu kuliko mema, I dont subscribe to any man made religion or political faction, am I too philosophical??
 
As individual I am a NATION, blabla zingine ni ziada, dini ni big scams, hizo dini so far, zimesababisha maafa kwa binadamu kuliko mema, perhaps I am too philosophical??
Never mind about "being philosophical", the only thing that matters is, your beliefs, your core values.
 
Ahhahahhaha unawapa hints hizo tayari wameshafuta hizo accountsza hao vijana kazi sanaa umefungua code...
 
Hukumu ni Kupigwa au kupelekwa Mahakamani ???! 😳 πŸ€·β€β™‚οΈ !
 
Politics for politicians...., sio vinginevyo
Not also for other forces too ???!!! πŸ˜³πŸ€·β€β™‚οΈ ! Au ???! πŸ™„ !
🀣🀣🀣

Ukiwa mkweli unatakiwa uwe mkweli kweri kweri 😳 πŸ€·β€β™‚οΈ !
 

Yale Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yaliyotoa ruhusa ya kuua Watu kwa Maafisa wa Polisi na TISS sasa matunda yake ndio yanaonekana Wazi wazi kabisa ya Watu kutekwa, kuteswa, kushambuliwa, kupotezwa na kuuawa.

Aidha, Mabadiliko yale ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yamewapa ruhusa Watu hao wa Tiss na Polisi kufanya Mauaji ya Watu kadiri watakavyo, na hakuna kitu chochote kile wanaweza wakafanywa. Wameruhusiwa kuua Watu bila ya wao Wauaji kuweza kushitakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…