Mbunge wa kuchaguliwa asizidi vipindi vitatu vya miaka 15 maana yake nini ni miaka 15 kama mbunge umeshindwa kutekeleza kwa wananchi utafanya nini?
“Ubunge uwe na ukomo wa miaaka 15 vipindi vitatu maana yake ni nini kwa mtu ambaye alikuwa mbunge 2010, 2015,2020 maana yake huu ungekuwa uchaguzi wake wa mwisho angekua amemalzia miaka 15 leo hii tungekuwa na wabunge wengi wameondoka na wangeachia vijana wengi waweze kushiriki kwenye siasa za nchi yetu.Vijana wa nchi hii ajenda hii muibebe tunapenda kuona vijana wakishiriki kwenye maamuzi hatuwezi kuwa na mtu ana miaka 30 ni mbunge yani kakaa miaka 30 kama mbunge”
“vijana leo hii wanataka kwenda majimboni wanakutana na mtu amekaa miaka 20 jimboni kuwatoa watu hawa ni ngumu kama CCM wameweza kuja na kikomo cha ubunge wa viti maalum wanaweza wakaanzisha na wao hiki wakaweka ukomo ndani ya chama walau vyama vikiweka ukomo hata serikali itaweka. Kama tumeweza kusema Rais anaweza kukaa miaka 10 kwa nini tunashindwa hivyo kwa mbunge. Mtu kama amekaa kwa miaka 15 hakuna alichofanya kwa wananchi awapishe wengine”
Amesema Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania(THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa leo Juni 18, 2025 alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar Es Salaam
Chanzo: JAMBO TV