smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Hahaaa!! hahaaa!! ni kweli haipuliziwi dawa kulingana na maeneo husika, na hali ya hewa, hapa nchini Lesotho inaota hovyo mpaka majalalani! ...yaani huku haiuzwi kabisaa!! ntakuwekea kapicha siku moja uone!Hivi ulishawahi kuona bangi ikipuliziwa dawa??
Nijuavyo katika mimea isiyokuwa na mahitaji ya dawa mmoja wapo ni bangi.
Kule kwetu usandaweni tunaitumia kama mboga zingine na huku isibania ni kitu inatupa sana pesa hatuna mpango wa kulima mahindi na mazao mengine.
Madini wakiyakuta kwenye shamba unalolilipia na kulima siku zote huwa wanagharamikia wao?
Ni utani tuu kwenye swali lililo kwenye bolded mkuu.
Tuna sheria ya ajabu ya umiliki wa radhi kwa Tanzania.
Lakini sasa DSM, Ntwara, Lindi nk, lazima umwagilie tu!