TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

Huyu jamaa ni msanii kweli!
Ni amani ipi anayomaanisha,ikiwa taasisi yake ndiyo inayo ratibu na kufadhili machafuko yote ulimwenguni?
Vita,ugaidi,magonjwa ya milipuko, mifumuko ya bei [mf.mafuta,gesi n.k.],na machukizo mengine mengi.yote haya yanaratibiwa na taasisi yake,Anataka kutuaminisha nini?
Duuh khery ya xmas mkuu! Hayo ya mzee Francis mzungu ni hatare
 
Duuh khery ya xmas mkuu! Hayo ya mzee Francis mzungu ni hatare
Asante sana ndugu, kheri nawe pia.
Ingawa kiuhalisia,hata hii Xmas ni sehemu ya sanaa yao kwa kuondoa jina la Tamuz[mwenye tarehe yake ya kuzaliwa],na kupachika jina la YESU,ili tu,kuilinda na kuitunza desturi yao ya kuadhimisha siku/tarehe hiyo aliyozaliwa Prince Tamuz.Hivyo tukirudi kwenye dini [UKRISTO], Xmas ni UBATILI.
 
Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.

Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa uhusika kama mama wa Yesu katika filamu ya 'Jesus Nazareth' ya mwaka 1977, amefariki siku ya Ijumaa akiwa amezungukwa na wapendwa wake.
Kitu kama huna elimu nacho au uelewa usipende kukielezea..
 
Asante sana ndugu, kheri nawe pia.
Ingawa kiuhalisia,hata hii Xmas ni sehemu ya sanaa yao kwa kuondoa jina la Tamuz[mwenye tarehe yake ya kuzaliwa],na kupachika jina la YESU,ili tu,kuilinda na kuitunza desturi yao ya kuadhimisha siku/tarehe hiyo aliyozaliwa Prince Tamuz.Hivyo tukirudi kwenye dini [UKRISTO], Xmas ni UBATILI.
Aseeh kumbe iko hivyo
 
Kanisa gani, au parokia gani, imewekwa picha ya huyu bibi?
 
Mimi naonaga mnaobishana kuhusu dini nikama hamnazo . Kila mtu aamini dini yake.
Hakuna dini iliyobora kuliko nyingine.
 
Kuna yule Yesu alitua Nairobi akawa anahitaji mabati ya kuzekea 🤣
 
Back
Top Bottom