- Thread starter
- #81
Nina ushahidi t
ena wa kutoshaUna ushahidi wa hayo au unabwabwaja tu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ena wa kutoshaUna ushahidi wa hayo au unabwabwaja tu ?
Weka sasaNina ushahidi t
ena wa kutosha
Bado anaendelea kututokea na kutuombea akisisitiza tusali Rozari na kufanya toba 🙏Bado anawatokea watu au ndio kamaliza ?
Chai hii kamanda.Bado anaendelea kututokea na kutuombea akisisitiza tusali Rozari na kufanya toba 🙏
Kibeho Rwanda wanaamini pia bikira alitokea akiwa mweusi.Kati ya Mei 13 na Oktoba 13, 1917, watoto watatu Lucia, Fransisco na Yasinta wachungaji wa Kireno kutoka Alhindrel, walitokewa na Bikira Maria huko Cova da Iria, karibu na Fátima, mji umbali wa maili 110 kaskazini mwa Lisbon. Wakati huo, Ulaya ilihusika katika vita ya umwagaji damu sana. Ureno yenyewe ilikuwa katika machafuko ya kisiasa, baada ya kupindua mfalme wake mnamo 1910.
Kanisa halikurupuki katika kuhakiki na kuthibitisha matukio, Ndiyo maana hata watakatifu huchukua mamia ya miaka kuthibitishwa kama watakatifu. Mfano muujiza wa Lanciano, miujiza ya watakatifu Ritha n.k yote hiyo imethibitishwa kitaalam na wataalam wenye hadhi kubwa duniani. Wewe ni nani ubishe?Kibeho Rwanda wanaamini pia bikira alitokea akiwa mweusi.
Lurdi Ufaransa alitokea akiwa mweupe.
Gaudeloupe Mexico alitokea akiwa mweupe.
Na kanisa liliidhinisha matukio yote kwamba ni ukweli.
Cha kushangaza waafrika wana amini kwamba bikira Maria wa ukweli, Ni mwenye rangi nyeupe!
Sasa image ipi ni kweli kuhusu sura na mwonekano wa huyo bikira Maria?View attachment 3187843
Hujajibu swali.Kanisa halikurupuki katika kuhakiki na kuthibitisha matukio, Ndiyo maana hata watakatifu huchukua mamia ya miaka kuthibitishwa kama watakatifu. Mfano muujiza wa Lanciano, miujiza ya watakatifu Ritha n.k yote hiyo imethibitishwa kitaalam na wataalam wenye hadhi kubwa duniani. Wewe ni nani ubishe?
Image iiyokuwa approved na Kanisa Katoliki ya Mwanamke Myahudi ambaye ni mume halali wa Yosefu na mama wa Yesu aliyewatokea watoto wa fatima. Hayo mengine ni story zenu za vijiweni na soga za Ellen G White.Hujajibu swali.
Hujibu ulicho ulizwa unajibu usivyo ulizwa.
Naku uliza hivi image ipi ya bikira Maria ni ya kweli?
Akiwa mweupe au akiwa mweusi?
Hata wewe hizo ni stori zenu za vijiweni na soga za Emperor Constantine na king James.Image iiyokuwa approved na Kanisa Katoliki ya Mwanamke Myahudi ambaye ni mume halali wa Yosefu na mama wa Yesu aliyewatokea watoto wa fatima. Hayo mengine ni story zenu za vijiweni na soga za Ellen G White.
Hatuabudu masanamu mzee.Ila RC kuna mambo mnazingua, huku sio kuabudu masanamu kweli,?
Haya tusingejua haingetupunguzia chochote, haya sasa tumejua, imetuongezea nini?Bila sanamu wajinga nyinyi hata msinge jua Yesu aliwambwa vipi pale mtini..
😂😂😒😒😒Usiabudu miungu mingine ila YEYE tuu,
Ukatoliki ni upagani ndio maana mnaabudu masanamuUzuri wa wakatoliki hata muwabagaze vipi hawanaga muda wa kujibishana na panya wadogo wadogo. Ukatoliki ni taasis ambayo ime exist karibia miaka 2000. Na mzizi wake sio wa kitoto. Na UKATOLIKI NDIO UKRISTO WENYEWE. WHETHER YOU LIKE IT OR NOT. Mpaka malkia wa sheba ameenda ku bow down juzi kati pale vatican , wewe ni nani upinge?
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Leo KumechangamkaUkatoliki ni upagani ndio maana mnaabudu masanamu
Hatuabudu masanamu mzee.
Huyu jamaa ni msanii kweli!Habari za kimataifa
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani papa Francis awetaka waamini na wakristo ulimwenguni kote kuishi maisha ya amani akitaka udugu ujengwe kwa kuunganisha daraja na sio kuwekeana ukuta!
Papa Francis amesema hayo katika viwanja vya st Peter jijini Vatican
Nikiripoti kutoka Vatican city..,. Monetary doctor, zerominus10