TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

Uzuri wa wakatoliki hata muwabagaze vipi hawanaga muda wa kujibishana na panya wadogo wadogo. Ukatoliki ni taasis ambayo ime exist karibia miaka 2000. Na mzizi wake sio wa kitoto. Na UKATOLIKI NDIO UKRISTO WENYEWE. WHETHER YOU LIKE IT OR NOT. Mpaka malkia wa sheba ameenda ku bow down juzi kati pale vatican , wewe ni nani upinge?
The Catholics are the state. Ile ni dola kamili ya warumi..
 
Uzuri wa wakatoliki hata muwabagaze vipi hawanaga muda wa kujibishana na panya wadogo wadogo. Ukatoliki ni taasis ambayo ime exist karibia miaka 2000. Na mzizi wake sio wa kitoto. Na UKATOLIKI NDIO UKRISTO WENYEWE. WHETHER YOU LIKE IT OR NOT. Mpaka malkia wa sheba ameenda ku bow down juzi kati pale vatican , wewe ni nani upinge?
Kama kuna doctorine zinazopingana na mapenzi ya MUNGU kwa mfano kuabidu sanamu tutazipinga tuu tutasimama na ukweli regardless nani kakosea
 
Sali Novena ya Mt.Ritha wa kashia kijana 😂
Umenikumbusha hii novena wakati nipo seminari, Tulikuwa tuna isali sana.

Tukiamini kwamba mtakatifu Rita ni mtakatifu wa mambo yaliyo shindikana.

Basi baada ya kufunga na kusali kwelikweli kwa kutia nia na imani thabiti kabisa, unabaki kusubiri miujiza itendeke, Lakini Holaaaa!! 😂

Unahamia tena kwenye novena nyingine ya mtakatifu Filomena, ikibuma unapiga novena ya mtakatifu Theresia, ikibuma unapiga novena ya Bikira Maria wa mlima wa Karmeli, ikibuma unapiga sala kwa Padri pio, ikibuma unapiga novena kwa watakatifu wote wa mbinguni, malaika, maserafi mpaka kwa makerubii....🤣🤣
 
That's what nikaweka pale he is not smart enough
And yet he did criticize, which makes him smart (if smartness is needed in criticism and if you measure the smartness by capability to criticize), and technically those who do not criticize are the ones who ain't smart enough..., The only way to get out of this rabbit hole is to criticize the criticisms and not the critic...
 
Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.

Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa uhusika kama mama wa Yesu katika filamu ya 'Jesus Nazareth' ya mwaka 1977, amefariki siku ya Ijumaa akiwa amezungukwa na wapendwa wake.
Haya tuma salamu kwa watu watatu.... 🎤
 
Uzuri wa wakatoliki hata muwabagaze vipi hawanaga muda wa kujibishana na panya wadogo wadogo. Ukatoliki ni taasis ambayo ime exist karibia miaka 2000. Na mzizi wake sio wa kitoto. Na UKATOLIKI NDIO UKRISTO WENYEWE. WHETHER YOU LIKE IT OR NOT. Mpaka malkia wa sheba ameenda ku bow down juzi kati pale vatican , wewe ni nani upinge?
Thread closed..✍️
 
Back
Top Bottom