TANZIA Olivia Hussey, Aliyewahi kuigiza kama Bikira Maria (Mama wa Yesu) afariki dunia

Duuh khery ya xmas mkuu! Hayo ya mzee Francis mzungu ni hatare
 
Duuh khery ya xmas mkuu! Hayo ya mzee Francis mzungu ni hatare
Asante sana ndugu, kheri nawe pia.
Ingawa kiuhalisia,hata hii Xmas ni sehemu ya sanaa yao kwa kuondoa jina la Tamuz[mwenye tarehe yake ya kuzaliwa],na kupachika jina la YESU,ili tu,kuilinda na kuitunza desturi yao ya kuadhimisha siku/tarehe hiyo aliyozaliwa Prince Tamuz.Hivyo tukirudi kwenye dini [UKRISTO], Xmas ni UBATILI.
 
Kitu kama huna elimu nacho au uelewa usipende kukielezea..
 
Aseeh kumbe iko hivyo
 
Kanisa gani, au parokia gani, imewekwa picha ya huyu bibi?
 
Mimi naonaga mnaobishana kuhusu dini nikama hamnazo . Kila mtu aamini dini yake.
Hakuna dini iliyobora kuliko nyingine.
 
Kuna yule Yesu alitua Nairobi akawa anahitaji mabati ya kuzekea 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…