Kombe halijaisha bado niko hapa akichukua najitoa jukwaa la mapishi siingii tena..Wewe dogo Giroud ana magoli manne mpaka sasa kwenye kombe la dunia na ameshavunja rekodi ya Henry na kuwa mfungaji bora wa wakati wote.
Elewa alichomanisha jamaa, mbona una mihemuko Sana.Kombe halijaisha bado niko hapa akichukua najitoa jukwaa la mapishi siingii tena..
Nina mambo mengi ya kufanya now Jf napita muda mchache tena kwa spidi kali ndio maana nasoma nachanganya madeasa madesa mada kama hizi..Rudia kusoma huu uzi unahusu jambo gani. Tangu mitandao ya simu ikupe kibano kwenye bando unapoteza network sana.
In actual fact jamaa ni mzungu anatafutiwa mazingira amzidi Thierry Henry mweusi. Ubaguzi hautaisha, kocha iwe jua iwe mvua lazima amuite na kumpanga.Jamaa kashamzidi Michael Platini, David Trezeguet na Zinedine Zidane kwa idadi ya magoli kwenye Timu yaTtaifa ya Ufaransa. Amebakisha magoli mawili kuifikia rekodi ya Thierry Henry.
Anaonekana kama mchezaji anyedharauliwa zaidi hapa duniani na ninaona akienda kupata kuanzia magoli matatu (ili afikishe 52) Kombe hili la Dunia na kuwa mfungaji bora wa wakati wote wa ufaransa.
Pengine uko sahihi ingawa Giroud amekuwa mfungaji mzuri kwenye timu ya taifa na tayari ameshampita Henry na kuweka rekodi mpya.In actual fact jamaa ni mzungu anatafutiwa mazingira amzidi Thierry Henry mweusi. Ubaguzi hautaisha, kocha iwe jua iwe mvua lazima amuite na kumpanga.
Itakuwa vyema Mbappe akikaa hapo.Pengine uko sahihi ingawa Giroud amekuwa mfungaji mzuri kwenye timu ya taifa na tayari ameshampita Henry na kuweka rekodi mpya.
Hata hivyo rekodi yake haitadumu sana kwasababu mbappe ataivunja ndani ya miaka minne kama ataendelea kufunga kwa kasi aliyonayo sasa hivi.