Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Sasa naelewa kwamba watetezi wa hayo mambo nao ni wahusika piaHumu JF kuna mawakala wengi wanaotulazimisha tusiamini uwepo wa Mungu. Kama wao hawaamini, wasitulazimishe sisi tusiamini pia.
Hakuna mwanaume chini ya Jua akiwa na akili timamu ataruhusu kupigwa pumbu au kumpiga pumbu mwanaume mwenzake.
Ushoga ni roho kamili, ni ushetani. Aache mbwembwe anayekutisha kwa hoja za kitoto.
Usihamishe mjadala
Umepanick tayari.Kwa nini unaunga mkono ushoga?
Umepanick tayari.
Unaweza kuthibitisha uwepo wa huyo shetani na si hadithi za vitabuni tu?Shetani yuko tangu enzi za Adamu na Hawa pale bustanini
Wapi nimetetea ushoga?
Wewe unatetea ushoga ni mtu wa hovyo sana
Wapi huyo shetani amefanya ushoga uonekane kuwa ni jambo la kawaida?
Shetani hamfanyi mtu awe shoga ila amefanya ushoga uonekane kuwa jambo la kawaida kwa watu kama nyinyi
Matambiko yapo ya aina nyingi mkuu. Usidhani kila mtu anatambika kwa kuchinja mbuzi na kumwaga pombe.Wanatambika na kuchinja mbuzi na kumwaga pombe makaburini?
Unaweza kuthibitisha uwepo wa huyo shetani na si hadithi za vitabuni tu?
Kutambika sio tu kuchinja, ni kuomba na kuabudu mizimu au wafu, kwa upande wa dini wanachinja wanyama lakini hawaombi wala kuabudu mizimuMatambiko yapo ya aina nyingi mkuu. Usidhani kila mtu anatambika kwa kuchinja mbuzi na kumwaga pombe.
Wazo kuu ni matendo yanayofanyika na nia inayokusudiwa.
Kwenye biblia, waisraeli walichinja kondoo, wakapaka damu kwenye milango kwa nia ya kujiepusha na mauaji ambayo huyo Mungu wenu alikuwa anajiandaa kuyafanya.
Hiyo unaona poa ila wachagga wakichinja mbuzi huko makwao unaona ni matambiko mabaya.
Kwanini?
Wapi nimetetea ushoga?
Mbona kama ndio unautangaza sasaUnafikiri ni sawa kuyaonyesha mambo hayo kwa public?
Uchoko na usenge kama huu unatakiwa kukemewa
View attachment 3053955View attachment 3053956
Mbona kama ndio unautangaza sasa
Kuna mtu amekulazimisha au alikulazimisha usiamini uwepo wa huyo Mungu?Humu JF kuna mawakala wengi wanaotulazimisha tusiamini uwepo wa Mungu. Kama wao hawaamini, wasitulazimishe sisi tusiamini pia.
Ushoga ni Tabia chafu za mtu binafsi kama ilivyo ulevi, wizi n.kHakuna mwanaume chini ya Jua akiwa na akili timamu ataruhusu kupigwa pumbu au kumpiga pumbu mwanaume mwenzake.
Ushoga ni roho kamili, ni ushetani. Aache mbwembwe anayekutisha kwa hoja za kitoto.
Kwa kuweka hizo picha una tofauti gani sasa na tv stations zilizokuwa zinarusha hewani hayo matangazoUna uhakika na unachosema?
Bro, unajichanganya sana.Kutambika sio tu kuchinja, ni kuomba na kuabudu mizimu au wafu, kwa upande wa dini wanachinja wanyama lakini hawaombi wala kuabudu mizimu
Ninacho washutumu ninyi ni kuhusisha hayo matendo ya kibinadamu kusema ni ya kishetani ilhali huyo shetani mwenyewe hayupo.Kwa nini mnatushutumu tunaopinga maonyesho ya kishoga?
Kwa kuweka hizo picha una tofauti gani sasa na tv stations zilizokuwa zinarusha hewani hayo matangazo
Nilitaka wanaounga mkono opening ceremony hiyo wajionee vitendo wanavyounga mkono na jinsi walivyo wajinga kukubaliana navyo
Wewe unaye pinga na yule anayetetea wote mmeangalia mna tofauti gani sasaNilitaka wanaounga mkono opening ceremony hiyo wajionee vitendo wanavyounga mkono na jinsi walivyo wajinga kukubaliana navyo
Ninacho washutumu ninyi ni kuhusisha hayo matendo ya kibinadamu kusema ni ya kishetani ilhali huyo shetani mwenyewe hayupo.
Hakuna uhusiano wa shetani na tabia za wanadamu.
Olympics ilianzia kwa mungu Zeus, kwa nini unaangalia mashindano ya kishetani kwa kuanzia??Wewe umesema haumini Shetani yupo.
Sisi tunaoamini Shetani yupo tunajua jinsi alivyo na ushawishi kwenye tabia za watu