Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Naona hapo kuna mtu alienda kula tunda kimasihara

1722083988901.png
 
Wanatumia alama ya upinde kama utambulisho wao
The rainbow nation in South Africa. It describes this diverse nation with people of all colors, from all backgrounds, rich and poor, all religions and many different languages. Politicians now use the term widely
 
Habarini waumini..

Jana katika sherehe za uzinduzi wa mashindano ya Olimpiki, tuliona matukio mengi na moja ya tukio lililo acha maswali mengi ni lile la kuigiza picha ambayo ina maudhui yanayo fanana na dini ya kikiristo.

Matumizi ya watu wa upinde kama wahusika katika picha hii ni ishara kwamba hawajali na wanadharau waumini pamoja na kitabu chao. (Biblia).

View attachment 3053686

View attachment 3053713

Tukio lingine ni matumizi ya picha au alama ya kichwa cha ng'ombe, hii inafanana kabisa na ishara ya kuabudiwa kwa mungu aitwaye BAAL' ambaye anatambulika kwa alama ya kinyago chenye sura ya ng'ombe.


View attachment 3053699

Huu ni ushetani, hawana nia njema na waumini wa dini na wanafaya kila wawezalo kudhalilisha dini hizo.Lakini jambo la kushangaza ni kwamba, waumini wa dini bado ndyo mashabiki namba moja wa michezo hiyo.

Ni wakati sasa wa kuona na kujua kwamba adui yupo anafanya kila awezalo kutimiza malengo yake. Anatumia michezo kama jukwaa la kuonyesha na kudhalilisha waumini wa dini husika.
Dini ndio mdudu gani??
 
We ndugu...
1. Wakoloni wakizungu walikuletea Ukristo
2. Walokole wa kiarabu wakakuletea uislamu
3. Sasa kwani wakikuletea hiyo ya Balaa' kuna shida gani?

Kama zote uliletewa na wewe ukaamua kuchagu uislamu basi hiyo ya Balaa' wanaitaka wataenda nayo.

Stop Life complication.

#YNWA
 
The rainbow in South Africa. It describes this diverse nation with people of all colors, from all backgrounds, rich and poor, all religions and many different languages. Politicians now use the term widely
Sawa, lakini bado inatumika kama alama ya watu wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja
 
Back
Top Bottom