Olympic nimeona hadi black Japanese

Michezo ni starehe na starehe ni gharama.
Pesa inahitajika kwenye mchezo wa aina yoyote ile
Nalog off
 
Uraia pacha ndio changamoto mkuu tuna sera za kirogoko ndio maana tumekaa kigorokogoroko
 
Mi nimemwona mu ukraine mweusi kajishindia medali ya dhahabu kwenye mieleka
Nalog off
 
Nitazame tofauti kidogo.

Hua naamini kwa namna iwavyo na kwa muda iwe mfupi ama mrefu ujao...
Sisi ngozi nyeusi tutatawala dunia kupitia nchi za hao hao watawala wa sasa.

Sisi huku Tanzania na barani mwetu Afrika kwa ujumla wake, kwanza hatujui uwezo wetu ni nini ,ili kupitia huo uwezo tunaweza kufanya nini, na kupitia uwezekano huo tufanye nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…