beijing_07
Senior Member
- Jul 19, 2021
- 113
- 146
nimemuona leo nilijua ni fatma karume zile nywele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimemuona leo nilijua ni fatma karume zile nywele
Uraia pacha ndio changamoto mkuu tuna sera za kirogoko ndio maana tumekaa kigorokogorokoOlympics ya mwaka huu nimeona Black Japanese...naona watu weusi hii sector ya michezo hatuna mpinzani..
Aibu ni Sisi Tu watanzania...hakuna hata Mtanzania wa nchi nyingine kweli?
Yaani kuna wakenya wanawakilisha Hadi nchi zingine..Sisi tuna watanzania watatu Tu? Hata mabondia wa kuwakilisha nchi za kiarabu hatuna???