Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.
Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo limefanywa na Israel kujibu shambulio la droni lililofanywa na Houth ndani ya mji mkuu wa Israel wa Telaviv ambao uko zaidi ya kilomita elfu moja kutoka Yemen na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.
Katika matamshi hayo mufti huyo pia amesema muda wa kuwaunga mkono wapalestina wa Gaza kwa silaha umfika badala ya kuwapelekea chakula pekee na kuwaombea dua.
Oman ni moja ya mataifa ya kiarabu ambayo matamshi ya kiongozi mkuu wa kidini huwa yanaheshimiwa na vile vile inapakana na Yemen kwa sehemu kubwa zaidi katika mipaka yake.