Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Uvaaji wa Hijab una faida gani kwa welbeing ya ulimwengu wa leo?Nyie mmesahau Europe nzima walikuwa wanavaa Hijab, tazama miaka ya 1920 leo mnajidai utamaduni wa Kislam.
Hizi bibilia zenu kila kukicha ni ammendment, kesho wasije kusema wewe ni mjukuu wa Yesu 😄