Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Ushindi wa mwarabu ni kushangilia vifo vya wayahudi 1200 na mateka wa kiyahudi 250 kisasi kikiwarudia wanauawa waarabu na wapalesitina zaidi ya elfu 30 na bado wanahesabu kuwa wamefanikiwa.
Hujui kama netanyahu na viongozi wenzake wamepoteana huko?
Hujui kama kuna bandari imefilisika huko israel ?
Hujui kwamba netanyahu anaviziwa na icc, ndio mara ya kwanza kwa mshirika wa marekani duniani kuwa international criminal
Ushindi unakuja kwa njia nyingi sana ,sashivi dunia nzima imesimama na palestine zile propaganda za terrorists wazungu wameshazipuuza, hadi sasa israel ni kama katengwa na dunia na hata wananchi wake wanatembea kwa kujificha na kuficha identity yao na huo ndio ushindi halisi na wenye madhara ya muda mrefu
 
Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.

Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo limefanywa na Israel kujibu shambulio la droni lililofanywa na Houth ndani ya mji mkuu wa Israel wa Telaviv ambao uko zaidi ya kilomita elfu moja kutoka Yemen na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.

Katika matamshi hayo mufti huyo pia amesema muda wa kuwaunga mkono wapalestina wa Gaza kwa silaha umfika badala ya kuwapelekea chakula pekee na kuwaombea dua.

Oman ni moja ya mataifa ya kiarabu ambayo matamshi ya kiongozi mkuu wa kidini huwa yanaheshimiwa na vile vile inapakana na Yemen kwa sehemu kubwa zaidi katika mipaka yake.
Ngoja waarabu wawaingize wahouthi cha kike baadaye waanze kulaani kwa maandamano.Netanyahu ni kichaa hana mzaha na waarabu wajinga.
By the way, nilitarajia Houthi wangekuwa wameshaigeuza Tel Aviv kuwa majivu.
Wajaribu waone!
 
Hujui kama netanyahu na viongozi wenzake wamepoteana huko?
Hujui kama kuna bandari imefilisika huko israel ?
Hujui kwamba netanyahu anaviziwa na icc, ndio mara ya kwanza kwa mshirika wa marekani duniani kuwa international criminal
Ushindi unakuja kwa njia nyingi sana ,sashivi dunia nzima imesimama na palestine zile propaganda za terrorists wazungu wameshazipuuza, hadi sasa israel ni kama katengwa na dunia na hata wananchi wake wanatembea kwa kujificha na kuficha identity yao na huo ndio ushindi halisi na wenye madhara ya muda mrefu
Wewe unayejua hongera ila myahudi anaendeleza kichapo
 
lakini mwaka huu kanuni walizojiwekewa zimefumuliwa na Hamas.
Mwezi wa 9 hakuna ushindi japo wameachiwa na kila mtu wafanye wanavyotaka.Mateka bado wameshikiliwa na wao wanawindwa mmoja mmoja ndani ya eneo wanalolizunguka.
Wakufa wapalestina zaidi ya 38,000.Na Hamas hajarusha hata jiwe ndani ya Israel.
 
Mfahamu Imam Ahmed Khalil mufti mkuu wa Oman mzaliwa wa Zanzibar Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=iHs6fNuK2JY
Mwanzuoni huyu mwenye umri wa miaka 81 sasa, lulu yenye thamani alizaliwa mwezi Julai tarehe 27 mwaka 1942 mjini Zanzibar ...tunu ya elimu ... alipotimiza umri wa miaka 9 alifanikiwa kuhifadhi kitabu kizima cha Kurani pia kujikita katika akida, nahau na lugha ya kiarabu .. mwingi wa kujifunza mambo mengi pia kufanya biashara za familia ili hali akiendelea na ilimu ya dini ilipotimu mwaka 1964 baada ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar..

Hiyo ndo cv ya Iman,duh?
 
Wewe unayejua hongera ila myahudi anaendeleza kichapo
Kichapo huku kabanwa kila sehemu hadi bandari inafilisika unadhani mchezo
Na sasahivi anasafiri kwa shida anawindwa kama kibaka tu na wanajeshi hana huku hezbollah na houthi wanampekea moto, watalii hawaendi tena maana hadi tel aviv sio salama tena
 
Race haihusiani na uyahudi.

Wengi wanojiita mayahudi waliopo israel siyo mayahudi.

Ethnicity ya wengi waliohamia israel siyo ya kiyahudi.

Umejichanganya sana, nafahamu ni kwa kujazwa ujinga na ukakujaa.
Shida yako unajiona mwerevu kuliko wenzio.Wewe una uhakika gani kwamba hujajazwa ujinga?
 
Hujui kama netanyahu na viongozi wenzake wamepoteana huko?
Hujui kama kuna bandari imefilisika huko israel ?
Hujui kwamba netanyahu anaviziwa na icc, ndio mara ya kwanza kwa mshirika wa marekani duniani kuwa international criminal
Ushindi unakuja kwa njia nyingi sana ,sashivi dunia nzima imesimama na palestine zile propaganda za terrorists wazungu wameshazipuuza, hadi sasa israel ni kama katengwa na dunia na hata wananchi wake wanatembea kwa kujificha na kuficha identity yao na huo ndio ushindi halisi na wenye madhara ya muda mrefu
Unamaanisha kuwa ICC inamuhusu Netanyau peke yake viongozi wa Hama's haiwahusu?.

Kama dunia nzima imesimama na wapalesitina utegemee ushindi kwa wa Israel kwa kuwa Mungu amesimama nao na Mungu hajawahi kushindwa.
 
Upo nchi gani🤔
Kama upo Tanzania ntapeleka ombi ama wazo hapo Tanzania kwetu hizo Sunday skuli zifungwe
Ndio ujinga munaomezeshwa huu kumbe asee dah!!!
Werevu kwa mwenzako ndio ujinga kwako.
 
Unamaanisha kuwa ICC inamuhusu Netanyau peke yake viongozi wa Hama's haiwahusu?.

Kama dunia nzima imesimama na wapalesitina utegemee ushindi kwa wa Israel kwa kuwa Mungu amesimama nao na Mungu hajawahi kushindwa.
Hakuna mungu anayesimama na wadhalimu wamewafool baadhi ya wakristo wa tanzania tu, dunia nzima imewatenga kwa sababu ya ushenzi wao and nothing personal, mungu ni wa haki mungu huyo huyo ndio katuumba mimi na wewe , mungu sio mjinga na anaona hata vilivyomo ndaani ya mioyo yetu, kinachokufanya ufikirie kuwa mungu ni wa watu wa israel tu ni ufinyu wa fikra , tumia akili mungu aliyokupa usikubali kukaririshwa
 
Shida ya watoto wa sunday skuli hamujui kwamba ushindi wa vita haupimwi kwa wingi wa vifo
Sunday skuli mnaenda kupoteza muda tuuuu
Kama unaona waarabu wameshinda vita washauri waarabu wafanye sherehe za kusherehekea ushindi wao kama tulivyofanya watanzania tulipowashinda waganda,kwa kuwa waarabu watakuwa kama kipofu aliyeona mwezi kwa kuwashinda wayahudi.
 
Kwani hujui kama hezbollah peke yake alimdunda israel mwaka 2006 hadi marekani akaenda kuomba ceasefire UN?
Hii vita bado inaendelea ila kuna mtu kabanwa vibaya hajui apigane na nani amuache nani na hana nguvu kazi ya kutoaha na kuna bandari imefilisika huko
 
Hakuna mungu anayesimama na wadhalimu wamewafool baadhi ya wakristo wa tanzania tu, dunia nzima imewatenga kwa sababu ya ushenzi wao and nothing personal, mungu ni wa haki mungu huyo huyo ndio katuumba mimi na wewe , mungu sio mjinga na anaona hata vilivyomo ndaani ya mioyo yetu, kinachokufanya ufikirie kuwa mungu ni wa watu wa israel tu ni ufinyu wa fikra , tumia akili mungu aliyokupa usikubali kukaririshwa
Usimufananishe Mungu na akili za binadamu,Mungu ndie aliyewaumba wadhalimu,washenzi na watenda maovu wrote na wrote anawanyeshea mvua anawapa mwanga wa jua na kuwafanikisha kama anavyowafanikisha wale unaowaona wema machoni pako kwa kuwa kwa Mungu watu wote ni sawa na wote wana haki saws mbele za Mungu.

Kama dunia imewatenga wayahudi kutokana na udhalimu wao na ushenzi wao,Mungu hajawatenga na watashinda hivi vita kwa kuwa Mungu hajawahi kushindwa.
 
Ushindi wa mwarabu ni kushangilia vifo vya wayahudi 1200 na mateka wa kiyahudi 250 kisasi kikiwarudia wanauawa waarabu na wapalesitina zaidi ya elfu 30 na bado wanahesabu kuwa wamefanikiwa.
Akili kichwani hawana
 
Anayepiga ni muisrael halafu unasema anayechokoza ni muislamu.Akili gani hiyo uliyonayo
October 7 waisrael walukuwa kwenye sherehe ya kidini hawakuwa na mpango wowote wa kuvamia majestically

Waislamu wa Wapalestina wakalianzisha wakavamia Israel kuua watu na kuteka wattu ulitaka waisrael wakae kimya?
 
Usimufananishe Mungu na akili za binadamu,Mungu ndie aliyewaumba wadhalimu,washenzi na watenda maovu wrote na wrote anawanyeshea mvua anawapa mwanga wa jua na kuwafanikisha kama anavyowafanikisha wale unaowaona wema machoni pako kwa kuwa kwa Mungu watu wote ni sawa na wote wana haki saws mbele za Mungu.

Kama dunia imewatenga wayahudi kutokana na udhalimu wao na ushenzi wao,Mungu hajawatenga na watashinda hivi vita kwa kuwa Mungu hajawahi kushindwa.
WEwe ndio unapenda washinde sio mungu ,maana mungu hapangiwi
 
Mungu ndie kapanga mwenyewe washinde kwa kuwa kawaruhusu waendelee kupumua pumnzi yake pasipo malipo yoyote,kawapa uhai pasipo kulipia chochote,kawapa maarifa na akili za kutengeneza silaha wanazotumia kujibu na kukinga mashambulizi kutoka kwa warabu na sasa wako ndani ya Gaza kuendeleza mashambulizi yao kwa kuwa Mungu ndiye anaewawezesha kufanya hivyo,Mungu angekuwa hahusiki angeruhusu waarabu wawafyekelee mbali kutokana na udhalimu wao na ushenzi wao.
 
Ngoja waarabu wawaingize wahouthi cha kike baadaye waanze kulaani kwa maandamano.Netanyahu ni kichaa hana mzaha na waarabu wajinga.
By the way, nilitarajia Houthi wangekuwa wameshaigeuza Tel Aviv kuwa majivu.
Wajaribu waone!
Wajaribu mara ngapi.Na unajua wako kazini. Kila siku wanazidi kukuza teknolojia zao za mapambano kwa kushirikiana na wenzao nje ya Yemen.
 
Back
Top Bottom