Hujui kama netanyahu na viongozi wenzake wamepoteana huko?Ushindi wa mwarabu ni kushangilia vifo vya wayahudi 1200 na mateka wa kiyahudi 250 kisasi kikiwarudia wanauawa waarabu na wapalesitina zaidi ya elfu 30 na bado wanahesabu kuwa wamefanikiwa.
Hujui kama kuna bandari imefilisika huko israel ?
Hujui kwamba netanyahu anaviziwa na icc, ndio mara ya kwanza kwa mshirika wa marekani duniani kuwa international criminal
Ushindi unakuja kwa njia nyingi sana ,sashivi dunia nzima imesimama na palestine zile propaganda za terrorists wazungu wameshazipuuza, hadi sasa israel ni kama katengwa na dunia na hata wananchi wake wanatembea kwa kujificha na kuficha identity yao na huo ndio ushindi halisi na wenye madhara ya muda mrefu