Njia za mungu sio za mwanaadamu, wote tunapewa pumzi za bure ila kuna wezi ,kuna wauaji kama hawa wazayuni, hata wao hitler aliwachoma kama kuku mungu alikuwepo na aliruhusu, hata hiki wanachopitia watu wa gaza historia itakumbuka tu ni swala la muda tuMungu ndie kapanga mwenyewe washinde kwa kuwa kawaruhusu waendelee kupumua pumnzi yake pasipo malipo yoyote,kawapa uhai pasipo kulipia chochote,kawapa maarifa na akili za kutengeneza silaha wanazotumia kujibu na kukinga mashambulizi kutoka kwa warabu na sasa wako ndani ya Gaza kuendeleza mashambulizi yao kwa kuwa Mungu ndiye anaewawezesha kufanya hivyo,Mungu angekuwa hahusiki angeruhusu waarabu wawafyekelee mbali kutokana na udhalimu wao na ushenzi wao.