Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Mungu ndie kapanga mwenyewe washinde kwa kuwa kawaruhusu waendelee kupumua pumnzi yake pasipo malipo yoyote,kawapa uhai pasipo kulipia chochote,kawapa maarifa na akili za kutengeneza silaha wanazotumia kujibu na kukinga mashambulizi kutoka kwa warabu na sasa wako ndani ya Gaza kuendeleza mashambulizi yao kwa kuwa Mungu ndiye anaewawezesha kufanya hivyo,Mungu angekuwa hahusiki angeruhusu waarabu wawafyekelee mbali kutokana na udhalimu wao na ushenzi wao.
Njia za mungu sio za mwanaadamu, wote tunapewa pumzi za bure ila kuna wezi ,kuna wauaji kama hawa wazayuni, hata wao hitler aliwachoma kama kuku mungu alikuwepo na aliruhusu, hata hiki wanachopitia watu wa gaza historia itakumbuka tu ni swala la muda tu
 
wanaheshimiwa na wanaheshimika.Sio kama hawa wa kwetu wanaotumiwa tu kutangaza ukimwi na kuhubiri amani bandia.
Idiot! yaani kila kitu cha Waarabu mnakiona cha maana.
 
Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.

Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji wa wa bandari wa Hodeada ndani ya Yemen ambao unadhibitiwa na jeshi la Houth.Shambulio hilo limefanywa na Israel kujibu shambulio la droni lililofanywa na Houth ndani ya mji mkuu wa Israel wa Telaviv ambao uko zaidi ya kilomita elfu moja kutoka Yemen na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.

Katika matamshi hayo mufti huyo pia amesema muda wa kuwaunga mkono wapalestina wa Gaza kwa silaha umfika badala ya kuwapelekea chakula pekee na kuwaombea dua.

Oman ni moja ya mataifa ya kiarabu ambayo matamshi ya kiongozi mkuu wa kidini huwa yanaheshimiwa na vile vile inapakana na Yemen kwa sehemu kubwa zaidi katika mipaka yake.
Oman hii hii au nyingine
 
Njia za mungu sio za mwanaadamu, wote tunapewa pumzi za bure ila kuna wezi ,kuna wauaji kama hawa wazayuni, hata wao hitler aliwachoma kama kuku mungu alikuwepo na aliruhusu, hata hiki wanachopitia watu wa gaza historia itakumbuka tu ni swala la muda tu
Tuko pamoja,ndiomaana nikasema kuwa kama dunia nzima imesimama na wapalesitina kwa kuamini kuwa wapalestina ni watakatifu na kuwapa mgongo waisrael kwa kuamini kuwa waisrael ndio wauaji na kuwaona wapalesitina kuwa siyo wauaji na kwamba waisrael 1200 waliouliwa na wapalestina siyo binadamu ni kama mbwa tu,ndio dunia ijue kuwa pamoja na yote hayo Mungu yuko pamoja nao ndio maana hata kipindi cha Hitiler mwenyewe wapo waliopona hakuwamaliza wote kwa kuwa nao wanalindwa na Mungu kama viumbe vyake na si kwa wema wao.
 
NATO kuwasaidia mazayuni na kuioiga nchi yoyote inayowatetea Wapalestina wanamchafua nani.

Sheikh kuwahimiza Waislam wenzake kawa "mpumbavu"?

Umenithibitishia kuwa kila anaewaona wenzake wapumbavu yeye ndiye mpumbavu wa kwanza.

Amani maana yake ukipigwa la kushoto ugeuze na la kulia?

Punguwani wahed.
Narudia ni upambavu kusikiliza kiongozi wa kidini anayetaka kuingiza nchi vitani kisa chuki zake za kidini
Na wewe utakuwa hivyo pia Kama Unataka nchi itumie rasilimali zake kwa kusikiliza shehk mmoja mwenye chuki zake

Uislamu wanasema ni Dini ya amani usiichafue kwa kuungana na magaidi wanautumia dini ya kiislamau kuuchafua
Unajua maana ya salamu yenu

Au uniaminishe kivingine kuhusu uislimu
 
Ni mpumbavu mkubwa sana anaebadilisha maneno ya mtu.

Sikushngai, nafahamu tatizo ni shule za kusomea ujinga, unafikia mpaka unachokisoma unakuwa hukielewi.
 
Mapinduzi ya Zanzibar hayakua na si matukufu,waliuawa watu 13000 wasio hatia,wake kwa waume na watoto
Warabu na Wafrica walikuwa kama ndugu pale Zanzbar, Muingereza na Israel walihusika hapo kuleta fitna bada ya miaka Israel ndio akakiri.

Waliwasingizia warabu eti waliwafunga minyororo, na sisi tulivyo kuwa mijinga shule hatukuwa tunafahamu picture za kweli na fake. Yote kuonyesha warabu wabaya na kuzuia Wafrika wasingie Uislam, hio ndio siasa ya Muingereza na Shoga yake Israel.
 
Kwani hujui kama hezbollah peke yake alimdunda israel mwaka 2006 hadi marekani akaenda kuomba ceasefire UN?
Hii vita bado inaendelea ila kuna mtu kabanwa vibaya hajui apigane na nani amuache nani na hana nguvu kazi ya kutoaha na kuna bandari imefilisika huko
Israel hajabanwa na yeyote.Madhara ya Hibulallah kwa Israel ni very minor ukilinganisha na loss ya Makamanda waliyonayo Hizbullah kutokana na vita hii.Labda nikuulize unajua kwa nini Hizbullah na houthi hawajafanya shambulio lolote kuanzia jumamosi?
Jibu ni kwamba Israel hakurupuki kama houthi na hizbullah.Anapiga strategic areas na kuneutralize.
Kwa sasa ndugu zako katika Imaan hawana silaha za maana.
Zimeteketezwa.
 
Warabu na Wafrica walikuwa kama ndugu pale Zanzbar, Muingereza na Israel walihusika hapo kuleta fitna bada ya miaka Israel ndio akakiri.

Waliwasingizia warabu eti waliwafunga minyororo, na sisi tulivyo kuwa mijinga shule hatukuwa tunafahamu picture za kweli na fake. Yote kuonyesha warabu wabaya na kuzuia Wafrika wasingie Uislam, hio ndio siasa ya Muingereza na Shoga yake Israel.
Shida unaamini hekaya za Mo Said
 
Israel hajabanwa na yeyote.Madhara ya Hibulallah kwa Israel ni very minor ukilinganisha na loss ya Makamanda waliyonayo Hizbullah kutokana na vita hii.Labda nikuulize unajua kwa nini Hizbullah na houthi hawajafanya shambulio lolote kuanzia jumamosi?
Jibu ni kwamba Israel hakurupuki kama houthi na hizbullah.Anapiga strategic areas na kuneutralize.
Kwa sasa ndugu zako katika Imaan hawana silaha za maana.
Zimeteketezwa.
Unajipa moyo bandari kufilisika na mizigo kama mafuta unasema havina madhara? Hizo shule sijui mnaendaga kucheza kombolela?
 
Israel hajabanwa na yeyote.Madhara ya Hibulallah kwa Israel ni very minor ukilinganisha na loss ya Makamanda waliyonayo Hizbullah kutokana na vita hii.Labda nikuulize unajua kwa nini Hizbullah na houthi hawajafanya shambulio lolote kuanzia jumamosi?
Jibu ni kwamba Israel hakurupuki kama houthi na hizbullah.Anapiga strategic areas na kuneutralize.
Kwa sasa ndugu zako katika Imaan hawana silaha za maana.
Zimeteketezwa.
Ni muendelezo wa vita vya muda mrefu ujao ambavyo havikuwepo upande wa Israel na hawakuvifikiria.Sasa wameingia na hawatotoka salama kama unavyofikiria.
Hata wakipigwa namna gani Houth,Hamas na Hizbullah hawatanyamaza .Itakuwa wanavizia tu.Tofauti na miaka iliyopita teknolojia walizonazo Israel nyingi wanazo na hao jamaa,Tofauti yao ipo kwenye hazina ya ndenge za kijeshi tu na inatarajiwa kila muda unavyosogea wataishiwa tu na kudhoofika,
 
Kama ni hivyo 1967 Six days War siyo muda mrefu historia itajirudia.
Nani kasema !?
Six days war Israel alilipua airbase ya Egypt na kushambulia Gollan heights.
Unadhani miaka ya 1960s ni sawa na sasa!?
Nchi gani ya kiarabu haina vifaa vya kijeshi?
Kama Hamas tu huu ni mwezi wa 9 Israel kapata hasara haijawahi tokea na kupata vifo vingi vya askari.
Je nchi zikiungana Israel itakua katika hali gani!?
 
Shida unaamini hekaya za Mo Said
Nyie mmesahau Europe nzima walikuwa wanavaa Hijab, tazama miaka ya 1920 leo mnajidai utamaduni wa Kislam.

Hizi bibilia zenu kila kukicha ni ammendment, kesho wasije kusema wewe ni mjukuu wa Yesu 😄
 
Nani kasema !?
Six days war Israel alilipua airbase ya Egypt na kushambulia Gollan heights.
Unadhani miaka ya 1960s ni sawa na sasa!?
Nchi gani ya kiarabu haina vifaa vya kijeshi?
Kama Hamas tu huu ni mwezi wa 9 Israel kapata hasara haijawahi tokea na kupata vifo vingi vya askari.
Je nchi zikiungana Israel itakua katika hali gani!?
Marekani imeshaionya Israel isitishe vita kwa sababu wanajua kila vita vinavyojikokota ndio uwezekano wa kusambaa zaidi unavyoongezeka.Itaanza kwa Hamas na Houth na Hizbullah halafu hata mataifa mazima mazima yataingia.hawatakubali Israel iwachezee wote kwa pamoja na muda huo itakuwa ni kuchelewa sana kwani Israel itakuwa imeshachoka.
Kuna uwezekano hali ya Israel ikawa kama ya Ukraine.Kupata askari wa kupigana itakuwa ni kwa mbinde kama dalili zinavyoonesha sasa ambapo ultra orthodox wanalazimishwa.
 
Back
Top Bottom