green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Hebu jiridhishe tena alafu hoja yangu kwa Australia hatupswi kujilinganisha nao wao wanaviwanda vya kila aina kukuza uchumi wao. Kama sisi viwanda vya nyama tu hatuwezi, tutakuza vipi uchumi wetu?Kina nani walizuwia? Mpaka leo Australia wanasafirisha Kondoo huko Uarabuni.
Wenzenu wanagonga mdudu kiroho saaafi , huku wanawakea masharti ya kutokula vinonoBange iendelee kuwekewa katazo kwa vizazi na vizazi😀
Mama najua huwa anapitia hapa, tumwambie HAPANA!! Kama Nyerere angeruhusu hili la wanyama kusafirishwa hai kwa wingi je leo tungekuwa na wanyama kwenye mbuga zetu? Mama HAPANA!! HUNA RUHUSA YA KURUHUSU UTOROSHAJI WA MALI ASILI ZETU- (With due respect). Mambo mengine ajifunze KUONA AIBU!!Mama umezidi
Kama umefikia ujinga wa kiasi hiki haustaili kujibiwa.🖕🖕Usipotosheka sema nikuongezee zingine, mbwa wewe
Maendeleo ni kusafirisha bidhaa iliyoongezewa thamani!! Hao waarabu waje wajenge viwanda vya kusindika nyama na tusafirisha nyama iliyosindikwa na siyo tusafirishe ng'ombe na mbuzi kisha kule wakisindika wanatuletea zikiwa na bei juu!!Watu wanafikiria sijui kupigwa
Wakati sahv wanatakiwa wakamate fursa wapeleke wanyama huko mbuzi,kondoo,ngombe etc
Ova
Maendeleo ni kusafirisha bidhaa iliyoongezewa thamani!! Hao waarabu waje wajenge viwanda vya kusindika nyama na tusafirisha nyama iliyosindikwa na siyo tusafirishe ng'ombe na mbuzi kisha kule wakisindika wanatuletea zikiwa na bei juu!!Watu wanafikiria sijui kupigwa
Wakati sahv wanatakiwa wakamate fursa wapeleke wanyama huko mbuzi,kondoo,ngombe etc
Ova
Yawezekana wakati anarejeshwa kundini walikuwa wameshachora ramani tayari!!Kinana apewe hiyo tenda
Sisi ni Tanganyika na siyo Australia!! Sisi tuna akili zaidi ya hao walowezi wa Australia!Kina nani walizuwia? Mpaka leo Australia wanasafirisha Kondoo huko Uarabuni.
Hao Sasa kunakua hakuna maana yoyote
Ukiuza ng'ombe bei itakua chini na faida kwa mnunuaji kuliko kumuuzia nyama.
Kwani kuwaomba waje wajenge viwanda vya nyama hapa ni tatizo? Ila mbona hata viwanda vilivyopo pale kibaha vinamilikiwa na wenye asili ya huko, au hawawaamini?
Huyo niliyemjibu alisema hakuna nchi inauza wanyama hai nje,Sisi ni Tanganyika na siyo Australia!! Sisi tuna akili zaidi ya hao walowezi wa Australia!
Ni wajinga ndio!!Kwahiyo nchi kama Australia wanaosafirisha Kondoo huko ni wajinga ila wewe ndio una akili kuwazidi? Kama hao wahitaji wametaka Ng'ombe hai,wewe tatizo lako ni nini?
Jiridhishe wewe usiyejua,Hebu jiridhishe tena alafu hoja yangu kwa Australia hatupswi kujilinganisha nao wao wanaviwanda vya kila aina kukuza uchumi wao. Kama sisi viwanda vya nyama tu hatuwezi, tutakuza vipi uchumi wetu?
Kaa pembeni hii mada ipo nje ya uwezo wako wakufikiri,acha kuonyesha ujinga wako,piga kimya ili usijulikane.Ni wajinga ndio!!
😂😂Tz nilikupenda sana, ulale salama na ukapumzike kwa amani huko uendako. R. I. P
Wengi ni udini unawasimbua,Nchi kama Somali wanasafirisha Mbuzi na Kondoo huko Oman,Australia wanasafirisha Kondoo huko Oman,
Naona badala ya kuchangamkia fursa mmekimbili sijui Twiga mara Tembo!
Bila kubadili hizi fixed mind mentality mtu atajikuta yupo pale pale tu miaka na miaka.