Unaamka ktk hoteli ya kisasa kabisa dirishani kuna pazia, unalivuta kufungua unakumbana na taswira ya mlima mrefu zaidi duniani wanaotambua kwa sifa ya free standing mountain huku mlima wote haukufunikwa na mawingu lakini kilele cha Kilimanjaro kimefunikwa kwa theluji nyeupe kama hariri na mazingira yote kwa maili kibao / kilometa za ardhi kuna mji mpya wa kisasa iliopangika.
Ubia wa OAMC Oman Airports Management Company Investor Profile | CAPA na KADCO KADCO | Home kufungua fursa kibao mtambuka
Tuchape kazi nasi tutaweza kupata ajira katika viwanja vikubwa duniani kama ilivyo kwa ndugu zetu wa nchi jirani ambao utawakuta ktk viwanja na mahoteli mbalimbali duniani.
Kilimanjaro Airport itaweza kuwa Airport hub / kitovu cha miruko ya ndege kuelekea sehemu mbalimbali za dunia badala tu ya kupokea watalii kwa sana.
Kilimanjaro Airport itakuwa sehemu ya mashirika ya ndege kukimbilia kwa matengenezo madogo madogo na ya dharura ya madege makubwa katika eneo hili la dunia.
Pilikapilika zote hizi zinahitaji uwekezaji mkubwa mtambuka ikiwemo mahoteli ambapo marubani, air hostess, abiria watahitaji sehemu ya kupumzikia na kulala.
Kilimanjaro kutokana na ukaribu wake na tanzanite itaongeza fursa ya kuwa eneo la mnada wa kimataifa wa madini mbalimbali yanayopatikana Tanzania, hivyo uwepo wa mahoteli ya kimataifa, kumbi za kisasa za mnada pamoja na kiwanja cha ndege kinachotoa huduma viwango vya kimataifa jirani kabisa na mahoteli na kumbi kutaifanya Tanzania yetu kuwa na kitu cha ziada na kuwa kimbilio la wafanyabiashara, watalii na wanunuzi mabilionea binafsi wapenzi wa Vito na madini.
Serikali ijipange na kulifanya eneo lote lisiwe squatters bali kuwapo mpangilio wa mpango mji wa kisasa na eneo maalum la uwekezaji tofauti na hali ilivyo jirani na uwanja wa ndege wa JNIA DSM ambao umezongwa na shughuli mtambuka zisizoendana na location ya uwanja mkubwa wa ndege.
Hakika muonekano huo utabaki ktk bongo na picha za kumbukumbu kushare na ku like ktk platform zote za kidigitaliMount Kilimanjaro
Mount Kilimanjaro is the tallest mountain on the African continent and the highest free-standing mountain in the world. 9. Kilimanjaro has three volcanic cones, Mawenzi, Shira and Kibo.19 Feb 2010