Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
Kwa taarifa yako tu! Oman wapo watu wa mataifa na makabila mbalimbali kutoka Africa na nchi nyingine nyingi duniani Ikiwemo Tanzania.samia alipokutana na mjomba wake Oman, huyo mjomba wake ni mzaramo au kabila lako?.....mtu kama hujui, hutajua kuwa hujui
Huko utawakuta watu kutoka Unguja, Pemba, Tanga, Wazaramo, Wandengereko, Wamakonde na kwengine n.k... Japokuwa wengi wao wanajiita Wa Arabu kutoka huko Oman na kumbe sio na wala asili hiyo ya Kiarabu hawana!