Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
Kwa taarifa yako tu! Oman wapo watu wa mataifa na makabila mbalimbali kutoka Africa na nchi nyingine nyingi duniani Ikiwemo Tanzania.samia alipokutana na mjomba wake Oman, huyo mjomba wake ni mzaramo au kabila lako?.....mtu kama hujui, hutajua kuwa hujui
Twafwaaa!Oman kupitia Shirika lake la Viwanja vya ndege vya Oman Jumatatu Juni 13 walisaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Kampuni ya Maendeleo ya Viwanja vya Ndege ya Kilimanjaro (KADCO) ili kuendeleza jengo la abiria la VIP katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro...
Kweli pale KIA unapata view nzuri sana ya mlima Kilimanjaro !! Hoteli ya kitalii itapendeza sana !!Nilikuwa nashangaa kwanini serikali miaka yote hawakujenga mahoteli jirani na uwanja huu wa KIA?
Tusipige kelele sasa mdau wa maendeleo ameamua kuja kuwekeza baada ya nchi kufunguka na kuona fursa ambayo wazee wetu nashangaa hawakuiona inayotazama mlima maarufu wa Kilimanjaro na pia kujenga mahoteli wageni wafikie wakisubiri miruko / flight za ndege.
Sanaaa....wenye wivu mwaka huu watakufa au watapararaizi........maaana kwa jinsi Rais anavyo upiga mwingi ni hatari...
wachawi na wanga sasa wanahara kwa uchungu wa roho mbaya.
hakuna kurudi nyuma mwendo mdundo mpaka kieleweke.
Inastaajabisha sana!Cha ajabu waarabu tumezaliwanao huku, wamekulia huku, tumekuwanao,, in short sio wageni kwetu kama mabeberu, wachina, wahindi, mayahudi/waafrika wa nchi zingine, lakini khofu waliyonayo wamatumbi wa JF, Insta, YouTube n.k sio ya nchi hii [emoji16][emoji16][emoji16] ingelikua wale wamang'ati waishio porini tungesema hawa bado washamba na wenye khofu na race zingine,,lakini mmbongo dah ana hofu kiasi hicho!![emoji16][emoji16]
Mjuaji wewe siyo!Shughuli gani?
Airport vitu kama hivyo ni kawaida mbona?
Kwakuwa huku kwetu hatujawahi kuviona labda hivyo! Ila ni mambo ya kawaida sana
Ndiyo tunawachukia. Kwani kuna tatizo sisi tukiwachukia. Mbona sisi pia tunachukiwa. Au kwa mfano hii komenti yako mbona inachukiwa na wengine.Kilichopo Ni chuki dhidi ya WAARABU period!
Nimekuelewa mkuu , ila Sasa watuachie wamasai wetu ,tz mapori YAKO mengi tu ,wachukue lolote wachukue wanyama na kupandikiza hukoSikufokei mkuu 4. Tushukuru Mungu kuwapata wawekezaji waarabu kuliko mabeberu, tangu nchi ipate uhuru tumepata nini mbele ya wazungu!!!
Kwa nini iwe shida Kia kuendelezwa na Oman wakati haikuwa shida wakati Wafaransa wanatujengea Terminal 2 ya Uwanja wa Ndege Dar? Na juzi wameingia tena Makubaliano kuiboresha zaidi?Nyie mmeshindwa kui develop au
Ova
By JK, kula uliweHuyu mama anapenda vya buree!!! Sijui kama anajua hamna BURE ISIYO NA GHARAMA
OMAN !!!???Huyu mama anapenda vya buree!!! Sijui kama anajua hamna BURE ISIYO NA GHARAMA
Ndio basi tena!.Mkuu kwani hutaki Mjomba atusaidie wapwa zake?[emoji3][emoji3]
Kujenga maduka ikashindikana vpNyie mmeshindwa kui develop au
Ova
In Kilimanjaro International Airport au at Kilimanjaro International Airport.Shopping mall in the airport au shopping mall at the airport?