Oman yasema hawaoni haja kuwabembeleza Houth kutozilenga meli huku vita Gaza vikiendelea

Hilo swala sasa liamuliwe kwa nguvu kwani hakuna sababu ya kubembelezana na gaidi.
Ili uwavamie ni lazima upate BASE ya kuanzia vita.

Kwa hali ya sasa hapo Middle East nani atampa Base (Mlango wa kuungilia) US ili aivamie Yemen. ?
Saudia?πŸ˜€

Teknolojia imekua sana , Proxy country zimeongezeka hakuna Scuds tu, kuna kila aina ya Makombora na drone za kisasa... Ni ngumu US afungue front hapo then aendelee na GAZA na Ukraine.
 
Sawa tujikite kuwafikilia wspunguzeje hizo zinaa kisha wairan wajikite ya israel na palesti ndo wako bara moja .
Sawa sawa kuna mkongo mmoja kanitumia private message ananiambia Congo haiwezekani eti kuwacha zina sababu ya hali ya hewa na vyakula vyake πŸ˜„
 
Waarabu wachache ameshaajitambua , hawezi kufanya kama Alivyfanya kwa sadam , labda apiganie kwenye carier lake lile
 
SAUDI watoto wa Mtume wanasemaje kwani?
 
Danganyaneni tu , mtaona kama Houth atasavaivu, nchi za kiarabu hazina ubavu wa kuzuia operation za USA
 
Ngumu .
Ni rahisi kutokea kwenye bases.

Carrier ni risky sana
Na ndio maana amezikipimbiza mbali huku mmoja ikipigwa nia kariba trillion 100 zinapotea pamoja na ma f22 na b2 .. itakuwa kama titanic rincle kwa ajili ya watalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…