Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ili uwavamie ni lazima upate BASE ya kuanzia vita.Hilo swala sasa liamuliwe kwa nguvu kwani hakuna sababu ya kubembelezana na gaidi.
Kwa hali ya sasa hapo Middle East nani atampa Base (Mlango wa kuungilia) US ili aivamie Yemen. ?
Saudia?😀
Teknolojia imekua sana , Proxy country zimeongezeka hakuna Scuds tu, kuna kila aina ya Makombora na drone za kisasa... Ni ngumu US afungue front hapo then aendelee na GAZA na Ukraine.