Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kumbe jumuiya ya kimataifa ilitaka kuitumia Oman kwa maslahi yake pekee bila kuzingatia athari nyengine.Jambo la kufurahisha ni kuwa katika mazungumzo baina yao ikiwajumuisha wanamgambo wa Houth,Oman imejitenga na harakati hizo.
Kwa mujibu wa msemaji mmoja wa Oman ambaye hakutaka kujitokeza hadharani,ni kuwa Oman imesema haioni umuhimu wa kuwataka Houith kuacha kuzilenga meli zinazokwenda na kutoka Israel kwa vile haina mantiki huku wapalestina wakiendelea kuuliwa.
Kukataa kwa Oman kusuluhisha mgogoro huo ni hatua nyengine ya kuendelea kuungwa mkono kwa Hamas kutoka kwa waislamu wenzao maeneo ya mbali na eneo la vita.Juzi Malaysia imepiga marufuku ushirikiano wa aina zote wa mawasilano ya bahari na Israel.