Oman yasema hawaoni haja kuwabembeleza Houth kutozilenga meli huku vita Gaza vikiendelea

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kumbe jumuiya ya kimataifa ilitaka kuitumia Oman kwa maslahi yake pekee bila kuzingatia athari nyengine.Jambo la kufurahisha ni kuwa katika mazungumzo baina yao ikiwajumuisha wanamgambo wa Houth,Oman imejitenga na harakati hizo.
Kwa mujibu wa msemaji mmoja wa Oman ambaye hakutaka kujitokeza hadharani,ni kuwa Oman imesema haioni umuhimu wa kuwataka Houith kuacha kuzilenga meli zinazokwenda na kutoka Israel kwa vile haina mantiki huku wapalestina wakiendelea kuuliwa.
Kukataa kwa Oman kusuluhisha mgogoro huo ni hatua nyengine ya kuendelea kuungwa mkono kwa Hamas kutoka kwa waislamu wenzao maeneo ya mbali na eneo la vita.Juzi Malaysia imepiga marufuku ushirikiano wa aina zote wa mawasilano ya bahari na Israel.
 
Oman very smart, hata misaada ya vyakula wamepeleka sana palestina. Hawakuwatupa, Masheikh wao kwanzia Mufti, naibu mufti n.k wamewaombea sana Dua mashallah.
 
Dunia ya leo si ile ya kuwa anachokitaka marekani lazima kiwe, mambo yamebadilika sasa, shukurani nyingi zimueendee mrusi kwa kuonyesha njia,, gaza kieneo kidogo mpaka leo wanamgambo wamedinda japo silaha zao kubwa smg, manati, rpg, mawe... Houth na hamas makundi teule
Kuna nchi naziona huruma sana kwa kweli , maana ni kuburuzw tu na marekani nchi kam Italy naona imekuwa kimbelembele sana kwa kweli .

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hilo swala sasa liamuliwe kwa nguvu kwani hakuna sababu ya kubembelezana na gaidi.
 
Huijui Yemen, Yemeni ina hali mbaya kuliko Somalia, hao Houthi hawatawali nchi yote
Labda sijakuelewa.
Ila Yemen inaimarika taratibu na Haina hali mbaya kama Somalia.
Somalia mpaka sasa alshabaab wanaaumbua ila Yemeni imeungana na houthi na wameshikamana wote kwaajili ya maendeleo ya Yemen.
 
Yemen inatakiwa iundiwe makundi ya kigaidi ili kuisamabaratisha kama walivyofanya Libya na iraq
Washachelewa
Waliingia vitani kuipiga kabisa kwamiaka tisa wakachemka
Tena walishirikiana us israhel saudia na shost zake na wakachemka
United Shits Of Americant inaendelea kupoteza ushawishi
 
Hizi nguvu zitumieni kujadili uchguzi wa kongo na amani ya burundi .hao mbona hawawaongeleagi nyinyi sio ndugu zenu hayawahusu 100% .oooh waislamu wenzetu si mjadili kwanxs waislamu wenzenu wqnauawa nigeria chad na sudan .ni unafiki kumtumia misaada mpalestina kisa muislamu mwenzio wakati waislamu wenzio unawapita kigogo wanaishi nyumba mbovu na kwenye madimbwi.unatuma hela kulibariki israel et taifa la mungu mil 10 wakati mdogo wako wa damu ni bodaboda.
Mm msimamo wangu kuhusu hiyo vita ni kuwa hayatuhusu.
 
Kumbe jumuiya ya kimataifa ilitaka kuitumia Oman kwa maslahi yake pekee bila kuzingatia athari nyengine.Jambo la kufurahisha ni kuwa katika mazungumzo baina yao ikiwajumuisha wanamgambo wa Houth,Oman imejitenga na harakati hizo.
Kwa mujibu wa msemaji mmoja wa Oman ambaye hakutaka kujitokeza hadharani,ni kuwa Oman imesema haioni umuhimu wa kuwataka Houith kuacha kuzilenga meli zinazokwenda na kutoka Israel kwa vile haina mantiki huku wapalestina wakiendelea kuuliwa.
Kukataa kwa Oman kusuluhisha mgogoro huo ni hatua nyengine ya kuendelea kuungwa mkono kwa Hamas kutoka kwa waislamu wenzao maeneo ya mbali na eneo la vita.Juzi Malaysia imepiga marufuku ushirikiano wa aina zote wa mawasilano ya bahari na Israel.
Hivyo vi Houth vyenyewe ukiviona sasa!!! Hata mkononi havijai afya mbovu kinyama
 
Hizi nguvu zitumieni kujadili uchguzi wa kongo na amani ya burundi .hao mbona hawawaongeleagi nyinyi sio ndugu zenu hayawahusu 100% .oooh waislamu wenzetu si mjadili kwanxs waislamu wenzenu wqnauawa nigeria chad na sudan .ni unafiki kumtumia misaada mpalestina kisa muislamu mwenzio wakati waislamu wenzio unawapita kigogo wanaishi nyumba mbovu na kwenye madimbwi.unatuma hela kulibariki israel et taifa la mungu mil 10 wakati mdogo wako wa damu ni bodaboda.
Mm msimamo wangu kuhusu hiyo vita ni kuwa hayatuhusu.
Congo wakipunguza zina watapata amani na Burundi ni vile vile.
 
Back
Top Bottom