Siasa ya kweli na haki haina dini, kabila, ubaguzi wa rangi, elimu, kipato, cheo, na kadhalika........
Julius kambarage Nyerere sio kwamba alikuwa bora kuliko wengine, ilikuwa na wakati wake kuwa rais,
Kwenye mafanikio ya mtu kwenye nafasi fulani ama nyadhifa fulani basi nyuma yake kuna nguvu, ushirikiano, uzalendo, hekima, busara, juhudi, nguvu kazi ya watu kadhaa. Kukusaidia wewe uwe hapo.
Hakuna mwanadamu anae zaliwa akajua ama kufanya kila kitu peke yake, lazima ashirikiane na wengine kwa namna moja ama nyingine.
🍁........ kush master..........🍁