Omari Tambwe a.k.a Dj Lil Ommy

Omari Tambwe a.k.a Dj Lil Ommy

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
dj.jpg
Kwa maoni yangu huyu jamaa ndio presenter bora kabisa kwa sasa among presenters wanao fanya vipindi vya entertainment anaijua sana kazi yake and he.likes what he is doing.

Bro Lil Ommy Tanzania inakukubali sana bro Keep it up .
 
Jamaa yuko vizuri..
Ana interact vizuri na kila msanii unaweza kudhani kila msanii anaepiga nae interview ni maswahiba wa siku nyingi
Yeah sure jamaa yupo vizuri sana katika hilo
 
Na sky pia.... dizzim online. Hawa wawili interview zao hazichoshi
Hawa watu wawili wapo vizuri na inaelekea kabla ya kumwita mtu kwenye interview huwa wanajiandaa kwa kumfuatilia then wanatoa mwaliko....kiujumla wame-relax wanapofanya interview na hawana maswali chonganisi na kama yapo wanampa msanii uhuru wa kujibu kama taratibu zinavyotaka au anakuja kuuliza kwa namna nyingine mpaka mtu anajikuta ameingia king
 
Back
Top Bottom