Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo vema sana.Tambweeeeeeeeeeeeeeeee.
Hawa watu wawili wapo vizuri na inaelekea kabla ya kumwita mtu kwenye interview huwa wanajiandaa kwa kumfuatilia then wanatoa mwaliko....kiujumla wame-relax wanapofanya interview na hawana maswali chonganisi na kama yapo wanampa msanii uhuru wa kujibu kama taratibu zinavyotaka au anakuja kuuliza kwa namna nyingine mpaka mtu anajikuta ameingia kingNa sky pia.... dizzim online. Hawa wawili interview zao hazichoshi
Yes makanjanja yajifunzeJamaa yuko vizuri..
Ana interact vizuri na kila msanii unaweza kudhani kila msanii anaepiga nae interview ni maswahiba wa siku nyingi
Namkubali Sana Shemela BABA SHAMIMU.Yupo vema sana.
Yule anajua kuhoji vichaa tu sio watu wenye akili zaoZahir Hussein, Mid One TV kwangu ndiyo favorite.