Oyaa hivi upo serious au unatania? Hivi unajua luteni jenerali vizuri? Luteni jenerali ni cheo Cha mwisho kabisa jeshini yaani hiko cheo ndio mtu huteuliwa kuwa CDF
Omary mjenga kwanza sio mwanajeshi. Alikua mwalimu tu wa shule ya sekondary ya jeshi, baadae akawa lecturer udsm, baadae akaingia wazara ya mambo ya nje , akawa pia katibu binafsi wa jk enzi akiwa waziri, akendelea huko wizara ya nje kwa nafasi zingine
Hapo unasema jirani yako ikiwa humjui kabisa, huwa mnapenda kuandika uongo mnapata faida gani?