Omary Mjenga: Gharama za Gulf Stream kwenda Rio de Janerio Brazil ni mara 7 ya Dreamliner ya ATC

Omary Mjenga: Gharama za Gulf Stream kwenda Rio de Janerio Brazil ni mara 7 ya Dreamliner ya ATC

Taja hiyo miradi na siyo kunyanyua pua juu kama 🐷 aliye on heat!
DPW waliopigiwa kelele ni mfano mkubwa sana wa uwekezaji wa awamu ya sita.

Nenda Morogoro utazame uwekezaji wa kiwanda kipya cha sukari. Yapo mengi sana cha muhimu jikite kiakili kutazama mema pia sio kuishia kutazama mabaya tu.
 
Dogo point yako ni ipi?
a) Rais kutumia Dreamliner badala ya Gulfstream?
b) Hasara iliyopata ATC baada ya Rais kutumia Dreamliner badala ya Gulfstream?
c) Idadi ya watu walioambatana na Rais Brazil?
d) Kuna faida gani Tanzania tutapata kwenye huo mkutano?

Ebu eleza vizuri tukusaidie Dogo!
Kumbe umeelewa vizuri ila ujinga wako upo ndani ya DNA kujifanya huelewi
 
DPW waliopigiwa kelele ni mfano mkubwa sana wa uwekezaji wa awamu ya sita.

Nenda Morogoro utazame uwekezaji wa kiwanda kipya cha sukari. Yapo mengi sana cha muhimu jikite kiakili kutazama mema pia sio kuishia kutazama mabaya tu.
DPW wameuziwa bandari sasa ulitaka wasiwekeze? Tanzania imefaidika nini?
 
Atakuwa mgambo huyo!😃😃😃 Nimemsikiliza vizuri akihojiwa na Farhia Middle hajatamka hata kwa kukosea kuwa ni mwanajeshi, bali mwanadiplomasia.

Kama ni mwanajeshi ana cheo gani? Wanajeshi hujitambulisha kwa vyeo vyao!
CCM imejaa matapeli tupu
 
Atakuwa mgambo huyo!😃😃😃 Nimemsikiliza vizuri akihojiwa na Farhia Middle hajatamka hata kwa kukosea kuwa ni mwanajeshi, bali mwanadiplomasia.

Kama ni mwanajeshi ana cheo gani? Wanajeshi hujitambulisha kwa vyeo vyao!
Meja Jenerali Mjenga ndio cheo chake. Huyo namfahamu vyema, alitaka kupangisha eneo langu hapa mbezi beach.
 
Meja Jenerali Mjenga ndio cheo chake. Huyo namfahamu vyema, alitaka kupangisha eneo langu hapa mbezi beach.
Nakuletea wasifu wa Mjenga halafu utueleze huo U-Major General aliupata wapi. Huyo aliyetaka kupangisha eneo lako siyo huyu au ni tapeli!

Mjenga is a career diplomat having joined the Tanzanian Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation as a Foreign Service Officer in 2002. Since then he has climbed up the ranks and served in different capacities throughout his career at home and key duty stations abroad.

Mjenga’s former roles include being an Assistant Lecturer and Researcher at the University of Dar es Salaam, and Tutor and Instructor at the 411KJ Military Secondary Academy in Songea, Tanzania.

Mjenga holds a Master’s Degree (Distinction) in Security and Strategic Studies from the Tanzania National Defence College (NDC) 2016. A Master’s Degree (Distinction) in Political Science with a specialization in International Relations and Public Administration, 2002, and a BA (Honors) Degree in Social Sciences with a specialization in Political Science, International Relations and Public Administration. He is also a recipient of the prestigious ‘NDC’ award, from the National Defence College of Tanzania, July 2016.

Mjenga has published in various journals including the article, ‘Participation of Tanzania in Peacekeeping Operations: An Analysis of Its Contribution to National Security,’ published by the National Defence College of Tanzania Journal, 2016.
 
Back
Top Bottom