- Thread starter
- #21
Ipo inakula AC pale kwenye mahanga ya airport!Kwani hiyo Gulf Sream ipo ????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo inakula AC pale kwenye mahanga ya airport!Kwani hiyo Gulf Sream ipo ????
Kwa hiyo yeye hahoji gharama?Yeye si anakuta tu ndege hapo anapanda ? Acha ajilie raha mwanamke mwenzetu, maisha ni haya haya tena ni mafupi.
Ndiyo! Sijui kama anaambatana na baba Abdul!😃😃😃Ina maana ametoka USA akaenda Cuba akarudi TZ na kurudi South America
Wewe mwenyewe ungekuwa sehemu ya hiyo timu ungehoji hizo gharama ?Kwa hiyo yeye hahoji gharama?
Bila shaka wewe ungehoji!Wewe mwenyewe ungekuwa sehemu ya hiyo timu ungehoji hizo gharama ?
Wakati wa kula huwa hatuongei unaweza kupaliwaBila shaka wewe ungehoji!
Brazil shamba au hujuiWananchi waelezwe gharama yote ya Mhe. Rais kwenda Brazil kwenda na kurudi ikijumuisha ujumbe wake wote. Pili tuelezwe ni faida gani itapatikana na safari ya Mhe. Rais kwenda Brazil?.
Heri yako umeridhika na kujikatia tamaa mwenyewe.Yeye si anakuta tu ndege hapo anapanda ? Acha ajilie raha mwanamke mwenzetu, maisha ni haya haya tena ni mafupi.
Siku bdege hiyo ikipata shida ndo utajua idadi na aina ya watu wanaoambatana na mh kwenye hizo ziara.
Kuna wajukuu wanakwenda kufanya shopping...
Ila kusema ukweli, kuna jamii flani hapa Tanzania wakilata uRais wanaifanya kama kazi ya familia kuanzia watoto hadi wajukuu na hadi wajomba.
Chunguzeni kwa viongozi waliopata kutuongoza.
Mimi nilichoka siku alipoenda ziara nchi Fulani ,ktk hotuba yake akamtambulisha mwanae Abdul 🥴🥴😔Siku bdege hiyo ikipata shida ndo utajua idadi na aina ya watu wanaoambatana na mh kwenye hizo ziara.
Kuna wajukuu wanakwenda kufanya shopping...
Ila kusema ukweli, kuna jamii flani hapa Tanzania wakilata uRais wanaifanya kama kazi ya familia kuanzia watoto hadi wajukuu na hadi wajomba.
Chunguzeni kwa viongozi waliopata kutuongoza.
Ndio ukaji waoHakika hawa machawa wa mama Kizimkazi wanatuona Watanzania bado ni wajinga sana!
Omary Mjenga ni mwanadiplomasia Mwandamizi na Mtendaji Mkuu wa National Defense College leo ametetea Rais Samia kutumia ndege ya ATC aina ya Boeing Dreamliner yenye uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 100 kibiashara kwa hoja kuwa angetumia ndege ya Rais aina ya Gulfstream gharama ingekuwa mara 7 zaidi!
Amesema hayo wakati akihojiwa na Farhia Middle kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV. Bw. Omary amejenga hoja kuwa Rais anasafiri na ujumbe wa watu wengi wakiwemo walinzi na wasaidizi kadhaa mbali na wataalam! Ameongeza kusema angesafiri kwa Gulfstream ingelazimu wajumbe wengine kusafiri kwa ndege za kibiashara.
Bw. Omary anatakiwa atueleze je kuna umuhimu wa Rais kusafiri na watu zaidi ya 100 katika ziara zake nchi za nje? Uzoefu wetu unaonyesha huwa anasafiri na machawa wake wakiwemo wasanii ambao hawana mchango wo wote katika mazungumzo ya kiserikali na wafanyabiashara ambao wanatumika kuhujumu na kufisadi mali za umma!
Bw. Omary atueleze ni hasara kiasi gani ATC inapata kwa ndege kutofanya biashara kipindi chote cha ziara za Rais?
Bw. Omary atueleze ni faida gani tutapata kutokana na mwaliko wa Rais kuhudhuria mkutano wa G20 akiambatana na watu zaidi ya 100 na kitu gani tungekosa kama angesafiri na watu wachache?
Maswali ni mengi lakini kwa kweli Watanzania tumepigwa!
NdiyoAisee nasikia hizo per diem za nje ya nchi wanapewa kwa US Dollars 🐝🍯
Rais anaishi bure, ni kula kulala na analipwa na anacholipwa haijulikani analipwa kwa kusudi gani ikiwa anapatiwa huduma zote bure hata anapostaafu.$ 5000 kwa gharama zipi? Kula, kulala, kusafiri bure. Bado per diem 5000! Naomba utaalamu hapa
Hii ni the same ingekuwa kuna mtoto wa kibabo flani yupo chini ya jengo pale Kkoo. Hadi helicopter za jeshi zingetumika.Hii inanikumbusha siku moja kama miezi miwili iliyopita.
Tunatoka Kigamboni kuja huku Feri.
Kivuko kinakaribia kushusha kuna mtu akawapa ishara ya kusogea mbele yani pale pakushukia mbele kabisa vijana wawili binti na mvulana,
wao wakawa wa kwanza kabisa, lakini ng'ambo kabisa kuna Gari jeusi lenye namba za Jeshi V8 imetugeukia na kuna kamanda kasimama na kaifungua milango ya Gari hilo.
Wale vijana wakashusha kwenye Kivuko na moja kwa moja wakaingia kwenye Gari fasta.
Ilikuwa ni kitendo cha harakaharaka sana hata kutokuweza kujiuliza kuwa inaweza ikawa ni damu ya kiboba gani wa 'Nji' hii.
Watu wakawa wanabung'aabung'aa tu.
Ila kuna watu wanakula matunda ya Uhuru nyie.
Acheni ujinga,
Tafuteni madaraka Kenge nyie.
Wewe ndiye unahitaji msaada kwa ujinga wako wa kutokuelewa.Dogo point yako ni ipi?
a) Rais kutumia Dreamliner badala ya Gulfstream?
b) Hasara iliyopata ATC baada ya Rais kutumia Dreamliner badala ya Gulfstream?
c) Idadi ya watu walioambatana na Rais Brazil?
d) Kuna faida gani Tanzania tutapata kwenye huo mkutano?
Ebu eleza vizuri tukusaidie Dogo!
Mkuu, kwa namna ulivyo orodhesha hayo maswali hapo juu inaonekana umemuelwa vizuri.Dogo point yako ni ipi?
a) Rais kutumia Dreamliner badala ya Gulfstream?
b) Hasara iliyopata ATC baada ya Rais kutumia Dreamliner badala ya Gulfstream?
c) Idadi ya watu walioambatana na Rais Brazil?
d) Kuna faida gani Tanzania tutapata kwenye huo mkutano?
Ebu eleza vizuri tukusaidie Dogo!
🤣 🤣 🤣Mtu kahoji alafu huyo aliyehoji naye anahojiwa atoe hoja, shubamit.