Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Brigedia kama sijakosea, aliniambia, niliongea nae kirefu miezi michache iliyopita, alitaka kupangisha eneo langu hapa mbezi beach.Sema wewe jamaa na yule choice variables huwa ni waongo waongo sana
Lini omary mjenga kawa meja jenerali? Kweli unamfahamu? Napata mashaka kama unamfahamu kweli
Meja jenerali😂😂
Uache utani aisee
Oyaa hivi upo serious au unatania? Hivi unajua luteni jenerali vizuri? Luteni jenerali ni cheo Cha mwisho kabisa jeshini yaani hiko cheo ndio mtu huteuliwa kuwa CDFLuteni Jenerali, niliongea nae kirefu miezi michache iliyopita, alitaka kupangisha eneo langu hapa mbezi beach.
Tapeli huyo! Anajifanya usalama wa Taifa!🚮🚮mpuuzi huyo!Oyaa hivi upo serious au unatania? Hivi unajua luteni jenerali vizuri? Luteni jenerali ni cheo Cha mwisho kabisa jeshini yaani hiko cheo ndio mtu huteuliwa kuwa CDF
Omary mjenga kwanza sio mwanajeshi. Alikua mwalimu tu wa shule ya sekondary ya jeshi, baadae akawa lecturer udsm, baadae akaingia wazara ya mambo ya nje , akawa pia katibu binafsi wa jk enzi akiwa waziri, akendelea huko wizara ya nje kwa nafasi zingine
Hapo unasema jirani yako ikiwa humjui kabisa, huwa mnapenda kuandika uongo mnapata faida gani?
Kwenye simu yangu nimemsave kama Balozi Mjenga, na niliongea nae kwa kirefu tu akaniambia yeye ni mwanajeshi na pia ni balozi wa Tanzania Dubai, anaishi huku mbezi beach nadhani maeneo karibu na kilongawima.Oyaa hivi upo serious au unatania? Hivi unajua luteni jenerali vizuri? Luteni jenerali ni cheo Cha mwisho kabisa jeshini yaani hiko cheo ndio mtu huteuliwa kuwa CDF
Omary mjenga kwanza sio mwanajeshi. Alikua mwalimu tu wa shule ya sekondary ya jeshi, baadae akawa lecturer udsm, baadae akaingia wazara ya mambo ya nje , akawa pia katibu binafsi wa jk enzi akiwa waziri, akendelea huko wizara ya nje kwa nafasi zingine
Hapo unasema jirani yako ikiwa humjui kabisa, huwa mnapenda kuandika uongo mnapata faida gani?
Wewe ni muongo sababu najua omary mjenga hawezi kuamua kukuongopea yeye ni mwanajeshi na yeye ni balozi wa Dubai. Balozi wa Dubai ni luteni jenerali yakubu MohamedKwenye simu yangu nimemsave kama Balozi Mjenga, na niliongea nae kwa kirefu tu akaniambia yeye ni mwanajeshi na pia ni balozi wa Tanzania Dubai, anaishi huku mbezi beach nadhani maeneo karibu na kilongawima.
Nidanganye ili nipate nini?. Inisaidie nini?
Jamaa muongo muongo Sana, mwanzo alisema ni meja jenerali, ghafla akassma luteni jenerali, ghafla tena brigedia jenerali. Mtu ambae hajawahi kuwa hata mwanajeshiTapeli huyo! Anajifanya usalama wa Taifa!🚮🚮mpuuzi huyo!
Kwahiyo umemaindi?Mimi nilichoka siku alipoenda ziara nchi Fulani ,ktk hotuba yake akamtambulisha mwanae Abdul 🥴🥴😔